Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
Mama wa rafiki yangu wa kufa na kuzikana amefariki wapendwa. Ni my childhood best friend ambae siwezi kuelezea urafiki wetu kwa maandishi. Yani huyu mkaka ambae mama ake amefariki tulipendana sana kama ndugu wa damu, hatukuwahi hata kuwa wapenzi japo wengi walihisi sisi ni wapenzi. Naugulia tu hapa, niko mbali kwenda kuzika sitaweza nimebaki na majonzi hata kazi hazifanyiki tena. Uwiii hapa sina hata wa kunibembeleza mwenzenu, huku niliko sina hata ndugu.
Nimeona hata niandike hapa nipunguze msongo huenda nitapata ahueni.
Pole sana huo msiba ni kama vile umefiwa na ma mkweMama wa rafiki yangu wa kufa na kuzikana amefariki wapendwa. Ni my childhood best friend ambae siwezi kuelezea urafiki wetu kwa maandishi. Yani huyu mkaka ambae mama ake amefariki tulipendana sana kama ndugu wa damu, hatukuwahi hata kuwa wapenzi japo wengi walihisi sisi ni wapenzi. Naugulia tu hapa, niko mbali kwenda kuzika sitaweza nimebaki na majonzi hata kazi hazifanyiki tena. Uwiii hapa sina hata wa kunibembeleza mwenzenu, huku niliko sina hata ndugu.Nimeona hata niandike hapa nipunguze msongo huenda nitapata ahueni.
Pole sana bro. Mungu akutie nguvu ni yeye pekee awezae kuufariji moyo wako. Inauma sana unapoondokewa na wapendwa lkn hakuna jinsi . Mungu ajuae nafsi zetu akutie nguvu na akupe faraja.Pole sana. Nami nipo katika wakati mgumu sana kwa wiki hii. Nimeondokewa na wapendwa wawili kuanzia jumapil had leo.
Wa kwanza ni kaka yangu Anaitwa Joseph Rweyemamu {Mtoto wa mama mkubwa}. Amefariki kwa ajali ya gari Kahama.. Mwingine ni rafiki yangu Kipenzi. Anaitwa Elizabeth {Wakyo} Mkongwe.. Kwa kweli imekuwa week ya huzuni sana kwangu.. Vifo vya vijana hao waliokuwa wanaanza kupata maendeleo ktk maisha yao vimefanya niyafikirie maisha katika namna ya tofauti na isiyoelezeka..
R.I.P Luteni Joseph Rweyemamu.
R.I.P Elizabeth 'Wakyo'Mkongwe.
I will always love and miss u wapendwa wangu..
Pole sana. Nami nipo katika wakati mgumu sana kwa wiki hii. Nimeondokewa na wapendwa wawili kuanzia jumapil had leo.
Wa kwanza ni kaka yangu Anaitwa Joseph Rweyemamu {Mtoto wa mama mkubwa}. Amefariki kwa ajali ya gari Kahama.. Mwingine ni rafiki yangu Kipenzi. Anaitwa Elizabeth {Wakyo} Mkongwe.. Kwa kweli imekuwa week ya huzuni sana kwangu.. Vifo vya vijana hao waliokuwa wanaanza kupata maendeleo ktk maisha yao vimefanya niyafikirie maisha katika namna ya tofauti na isiyoelezeka..
R.I.P Luteni Joseph Rweyemamu.
R.I.P Elizabeth 'Wakyo'Mkongwe.
I will always love and miss u wapendwa wangu..
Pole sana huo msiba ni kama vile umefiwa na ma mkwe
Pole sana bro. Mungu akutie nguvu ni yeye pekee awezae kuufariji moyo wako. Inauma sana unapoondokewa na wapendwa lkn hakuna jinsi . Mungu ajuae nafsi zetu akutie nguvu na akupe faraja.