MMU nimefiwa

MMU nimefiwa

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,160
Mama wa rafiki yangu wa kufa na kuzikana amefariki wapendwa. Ni my childhood best friend ambae siwezi kuelezea urafiki wetu kwa maandishi.

Yani huyu mkaka ambae mama ake amefariki tulipendana sana kama ndugu wa damu, hatukuwahi hata kuwa wapenzi japo wengi walihisi sisi ni wapenzi.

Naugulia tu hapa, niko mbali kwenda kuzika sitaweza nimebaki na majonzi hata kazi hazifanyiki tena. Uwiii hapa sina hata wa kunibembeleza mwenzenu, huku niliko sina hata ndugu.

Nimeona hata niandike hapa nipunguze msongo huenda nitapata ahueni.
 
pole my dia u will be fine,Mungu akutie nguvu japo ukamzike rafiki yako kipenzi.
 
pole vipi hukuwa na uhusiano nae hata huko udogoni?
 
Pole sana bi dada, Mungu awape faraja...msiba wapi kwa wanaoweza kukufariji kwa kujongea eneo husika?
 
pole kwa msiba uliokupata, Bwana anetoa na Bwana ametwaa.
 
Pole sana Mrembo by Nature sote njia yetu ni moja. Uko pande zipi nikupigie walau simu 'tufarijiane'
 
Last edited by a moderator:
Jamani asanteni woote angalau najiona wepesi kidogo, huyu ni kama mama yangu mzazi, imeniuma sana siwezi elezea kushindwa kuwepo na kumfariji rafiki yangu mpendwa na kipindi hiki kigumu cha msiba wa mama.
 
Pole sana!mungu ampumzishe kwa amani

Mama wa rafiki yangu wa kufa na kuzikana amefariki wapendwa. Ni my childhood best friend ambae siwezi kuelezea urafiki wetu kwa maandishi. Yani huyu mkaka ambae mama ake amefariki tulipendana sana kama ndugu wa damu, hatukuwahi hata kuwa wapenzi japo wengi walihisi sisi ni wapenzi. Naugulia tu hapa, niko mbali kwenda kuzika sitaweza nimebaki na majonzi hata kazi hazifanyiki tena. Uwiii hapa sina hata wa kunibembeleza mwenzenu, huku niliko sina hata ndugu.
Nimeona hata niandike hapa nipunguze msongo huenda nitapata ahueni.
 
Mama wa rafiki yangu wa kufa na kuzikana amefariki wapendwa. Ni my childhood best friend ambae siwezi kuelezea urafiki wetu kwa maandishi. Yani huyu mkaka ambae mama ake amefariki tulipendana sana kama ndugu wa damu, hatukuwahi hata kuwa wapenzi japo wengi walihisi sisi ni wapenzi. Naugulia tu hapa, niko mbali kwenda kuzika sitaweza nimebaki na majonzi hata kazi hazifanyiki tena. Uwiii hapa sina hata wa kunibembeleza mwenzenu, huku niliko sina hata ndugu.Nimeona hata niandike hapa nipunguze msongo huenda nitapata ahueni.
Pole sana huo msiba ni kama vile umefiwa na ma mkwe
 
Pole sana mrembo, ngoja nikuburudishe kidogo parapanda italia, paranda * 2......
 
Pole sana. Nami nipo katika wakati mgumu sana kwa wiki hii. Nimeondokewa na wapendwa wawili kuanzia jumapil had leo.
Wa kwanza ni kaka yangu Anaitwa Joseph Rweyemamu {Mtoto wa mama mkubwa}. Amefariki kwa ajali ya gari Kahama.. Mwingine ni rafiki yangu Kipenzi. Anaitwa Elizabeth {Wakyo} Mkongwe.. Kwa kweli imekuwa week ya huzuni sana kwangu.. Vifo vya vijana hao waliokuwa wanaanza kupata maendeleo ktk maisha yao vimefanya niyafikirie maisha katika namna ya tofauti na isiyoelezeka..

R.I.P Luteni Joseph Rweyemamu.
R.I.P Elizabeth 'Wakyo'Mkongwe.

I will always love and miss u wapendwa wangu..
 
Pole sana my dear Mungu akutie nguvu kufiwa kunauma sana. Mshukuru tu Mungu na uzidi kumuombea faraja huyo rafik yako aliefiwa na mamake maana kama wewe unajisikia uchungu kupita kiasi , je yeye anajisikiaje nadhani ni zaidi ya unavyojisikia Muombee tu. Yupo Mungu awezae kufariji kuliko tujuavyo maana yeye ajua hata kilichojificha nafsini mwetu.
 
Pole sana. Nami nipo katika wakati mgumu sana kwa wiki hii. Nimeondokewa na wapendwa wawili kuanzia jumapil had leo.
Wa kwanza ni kaka yangu Anaitwa Joseph Rweyemamu {Mtoto wa mama mkubwa}. Amefariki kwa ajali ya gari Kahama.. Mwingine ni rafiki yangu Kipenzi. Anaitwa Elizabeth {Wakyo} Mkongwe.. Kwa kweli imekuwa week ya huzuni sana kwangu.. Vifo vya vijana hao waliokuwa wanaanza kupata maendeleo ktk maisha yao vimefanya niyafikirie maisha katika namna ya tofauti na isiyoelezeka..

R.I.P Luteni Joseph Rweyemamu.
R.I.P Elizabeth 'Wakyo'Mkongwe.

I will always love and miss u wapendwa wangu..
Pole sana bro. Mungu akutie nguvu ni yeye pekee awezae kuufariji moyo wako. Inauma sana unapoondokewa na wapendwa lkn hakuna jinsi . Mungu ajuae nafsi zetu akutie nguvu na akupe faraja.
 
Luten Jose kumbe ni ndugu yako pia, very sad, msiba huu pia ulinigusa kwa namna moja. Pole sana nicas. Wote ndio njia. Ila heri hata ningemzika mama yangu huyu nione kama kweli amekufa.
Siku zote tuwapendao na walio wazuri kwa macho ya wanadamu ndio huondoka haraka tusipotazamia.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana huo msiba ni kama vile umefiwa na ma mkwe

Ukoo wao hata sasa wanajua mie ndio nitakuwa mke wa rafiki yangu, hata mama ameenda anajua MBN ndio mkwewe. Lakini hata sio hivyo sisi ndio tunajijua.

Rafiki yangu alinipenda sana na kuniheshimu hadi akawa anaona aibu kunitongoza alidhani ningelitambua hilo, na ningemuanza. But mie nilimuona kama kaka yangu after kuona hana dalili za kunitamkia ndio na heshima ikazidi. Haya ameniambia last year wakati it was too late.
 
Pole sana bro. Mungu akutie nguvu ni yeye pekee awezae kuufariji moyo wako. Inauma sana unapoondokewa na wapendwa lkn hakuna jinsi . Mungu ajuae nafsi zetu akutie nguvu na akupe faraja.

Asante Sana mpendwa. Mungu ni mwema.
 
Back
Top Bottom