Habari wana JF...
Ni wazi kua we have got lives beyond hapa JF.... Na ni wazi kua majukumu ni mengi katika jamii ambayo kwa kweli mara nyingi ndio first priorities katika maisha yetu kuliko hata hapa Jamvini... However inapotokea kua Members ambao ni wanafamilia wa hapa MMU wamepotea kitambo... Kuna baadhi ya members hasa sie wanafamilia wa MMU (Mfano mimi) hutokea kwamba Tumewa MISS.... Nyie watu (wanafamilia ya MMU) Popote kule mlipo msitegemee kukaa kwenu kimya basi na rohoni na akilini kwetu hampo!!! ACHENI kutesa mioyo yetu na agalau mtutembelee walau hata post moja tu kwa Week kuhakikisha kua kweli ni wazima wa Afya na kwamba Mwaendelea vizuri... Hivo basi naomba nitaje baadhi ya ambao nimewakumbuka kwa mda huu.... Wale ambao nimesahau kutaja naomba fellow members tukumbushane... Walau waelewe kua We REALLY MISS THEM..... (At lease I do...)
- Michelle
- Eiyer
- Gaga (I kno u ar fine but jamvini sijakuona mda)
- Stevie Dii
- Mestod
- Bacha
- CPU
- Lizzy
- Gagurito
- Manumbu
- Pearl
- Belinda Jacob
- Magulumalu
- Mentor
- First Lady
- Zion Daghter
- Maty (simuoni kabisa naona tu likes...lol)
- Dinnah
- Kbd
- Rev Masanilo
- Cheusi Mangala (thou she is back)
- Okada
- Elia
- Sharohiphop
- Aisha Adam
- Samora10
- Vikwazo
- The Dirty Paka
- Madabwada
- KonaKali
- Mayassa
- Kaka Mpendwa
- Fixed Point (thank God tumemuona)
Naamini ni wengi na wengine nimewasahau... Ama siwafahamu tokana na Ukweli kua MMU haijaanza juzi... I repeat Members wengine tutasaidiana kukumbushana (kwa wataopenda)
(This Post has been written with Lots of Love.....)
Pamoja Saana
AshaDii.
Mie Nimem-miss AfroDenzi jamani, sijamuona tangu tutoke Birthday Party tarehe 7, pale Peacock Hotel.
Plz say something, Afro D, Me missed u
Hawa woote Wamepotea kweli yaani... Huyu Nemo hugusa gusa tu thou briefly at least hutoa hope kua she is well.... Napenda angle za yule dada... Ila BelindaJacob... I really wish i could see her jamani...
Ohhhh dear! Nimeguswa na upendo kutoKa moyoni. Mimi ni mtu wa mwisho kabisa kuweza kufikiri kwamba ungenikumbuka. Asante sana kwa kuweka tabasamu usoni kwangu na kuifanya wikiendi yangu iishe kwa furaha.
Nipo mpendwa wangu na ni mzima afya. Niliamua kupumzika kidogo kiofisi na nikasafiri nyanda za juu kupata kibaridi kidogo. Nimerejea na tayari kuanza mzigo kuanzia kesho.
Asante kwa kunikumbuka, asante kwa kunijali. Nakupenda.
Hakuna hisia tamu kama kujua kuna mtu mahali fulani anakufikiria na amekukosa sana. Mi binafsi nimefarijika sana na uzi huu uliorushwa kwa ajili yetu. Nimejisikia kupendwa na kuthaminiwa. Nimejisikia kama sehemu ya hii familia njema ya jf.
Nakuombea heri mdada na Mungu akuongezee upendo. Natamani nikufahamu kwa ukaribu zaidi mpendwa wangu. Uwe na jioni njema.
Nemo hiyo tabia yake ya kuchungulia huwa natamani hata nimshike mkono jamani though kuna shughuli zake flani alinambia nahisi ndo zinamuweka busy!! Dah! Ila huyu bidada Bj ndo funga kazi sijui kajichimbia wapi aiseee! Dinnah nae alitia sahihi tu kwenye topic ya ma'swagga then akachikichia! Yaani hizi figure tatu hizi........!
Napenda nemo anavombana mtu kwenye kona na hoja zake lol
We acha tu yaani Nemo huwa ananipangia points hadi mi mwenyewe nakubali!! Neeemooooo plizz come back, I REALLY MISS YOU!!! AshaDii naomba ruhusa ya kulia manake hisia zimenizidi nguvu mamy!
B' Naomba introduction... who exactly is Susy??
Kwa kweli gaga,michelle na gagurito nao nawamiss sana pamoja na kwamba mko bize mtukumbule humu, mie ingalau natokea mara mojamoja
Ai jamani mie nipo ashadii sana tu sema naingia usiku sana hasa lileee jukwaa fulani hiviAfadhali umeongeza nguvu mpenzi... kwakweli hata wewe Black Berry ni adimu saana.... Sema tu walau unachungulia mara kwa mara hio inatufanya members tujue u-buheri wa afya... Nimefurahi kukuona.
Angalau hao wawili i believe they are well and good... ila mtu anipe taarifa za BJ.... I miss those provocative lips jamani.... Kipipi kwako nime miss ile avatar..
Unaruhusiwa kabisa kulia.... Mie mwenzio nalia moyoni...
B' are you sure nililkuwepo??