MMU hot talk

teh debate HOT...?????? HOOOOOT..!!
debate HOT???? ....HOOOOOT...okay mtanange kontinuz...
 

Gazeti loote la nini....bitterness tupu naona hapo
 

Hahahaha,That's your fate mwaya enjoy..na shkamoo maana umenipita kwa mengi
 

Mmmmmmmmmh..... lara 1 napata mashaka au ndo mume wa kwenye keyboard????? Nae aonekane yumooooo hahahahaaaaa wonders shall never end uwiiiiiiiiiiiiiii.
 
Last edited by a moderator:
We utarogwaaa...usichezee mabibi wa mjini.
We jenga urafiki nae, mpe vijizawadi awe shoga ako...halafu mwambie akufundishe hayo anayotaka kumpa mume wetu...lol...

Ujue mpaka bibi kaomba mechi ujue kajipanga hivooo....mtoano anauwezaaa....!

awapi keshazeeka yuleeeeee hana jipyaaa....kwanza kidude chake kishakaukaaaa...tehetehe ...
 

I couldnt agree more....naona wana bitterness mbaya sana...wape moyo watapata wa kuwapenda na kuwaoa,tatizo wapo na denial kali sana
 
Mmmmmmmmmh..... lara 1 napata mashaka au ndo mume wa kwenye keyboard????? Nae aonekane yumooooo hahahahaaaaa wonders shall never end uwiiiiiiiiiiiiiii.

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! DOGO CONCENTRATE ON WINNING THIS WAR! Format zinabadilika badilika za mchezo! WATCH AND LEARN! Humu JF nimepambana na nimeshinda battle nyingi sanaa, we are definately not going to lose this one. TOKA JUZI COUNTLESS FIGHTERS INCLUDING Commerade FIELD MARSHAL Tyta wamenawa, but we still rolling! HIO INAITWA REVERSE PSYCHOLOGY! Na silaha za kinyuklia YOU SAVE THEM FOR LAST! HAHAHAAAAAAAAAAA!

WATCH AND LEARN!
 
Aiseeeeh... Naona habari mpya zimeibuka, nilikuwepo hapa siku3 zimenitosha nimefurahia kuwa nanyi nyumba kubwa twende bibi yangu ukanihadithie hadithi za zamani. hahahahahahaaaa lara 1 kuna mbwa wageni wanabweka chini chini wanataka hifadhi ila waache banda letu limejaa.
 
Last edited by a moderator:

General THE ANGEL, THEIR 2 SECONDS OF FAME WERE OFFICIALLY OVER A VERY LONG TIME AGO! We komaa na makamanda! Hii toka juzi, mtu ataingiaje uwanjani saa hivi! FOCUS GIRLS! GET ME THOSE BIG REPUBLICANS. Small cockroaches shouldnt be center of your attention.

FOCUS! FOCUS AND FOCUS!
 
Acha kuwasemea watu...mwenyewe yupi?....tafuta tusi jingine basi "mshono" tushaizoea,upgrade basi

ile ilikuwa QUOTE manake inamjibu MTU SPECIFIC! Afu ligi uliinza vizuri saivi umeshuka kiwango! Ngoja nimuanze Eiyer maana sio mwepesi yule, nilikuwa namlia mark time!
 
Last edited by a moderator:
Naona mada imekuwa personal attacks.
Kimsingi angelita anaishi maisha ya umri wake ila si sahihi.
Na so called granny mumuwache kama kukuambia mmeshammwambia kasisikia ikifika kipindi mwenyewe ataamua atatulia na vizuri kuna sehemu alisema itafika kipindi Mungu atampa wa kwake ataolewa.
Hizo personal attacks sijazipenda.
 
Mmmmmmmmmh..... lara 1 napata mashaka au ndo mume wa kwenye keyboard????? Nae aonekane yumooooo hahahahaaaaa wonders shall never end uwiiiiiiiiiiiiiii.

HII NDO JF BANAAAAAAAAAAAAA! Acha kabisaaaa!
 

Hahahahaaaaaaaaaaa!!!!!!! TIT FOR TAT! ALL IS FAIR IN WAR AND LOVE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…