nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,689
mwanangu, inakuwaje unaenda vichakani na vazi la kifalme? aisee mbona Window7 anaidhalilisha familia ya kifalme hii?
nimekwambia uwe mwangalifu atii!
Dadiiii usijaliii, nina ile bastola uliyonipa, akinisumbua nataka nimzikie huku huku... waandishi wa habari wasikusumbue...
thumb up my dear... i trust you!
Dadiiiiiii... niaminie plishhhhhh... siwez aibisha ufalme wako....
hahaa! Nilikaa pemben nakuangalia tu namm nilitaka kufumania. Mm nisingelaza damu ningemwita Himidin sasa hivi..... Hujambo shemejiii!
aiseeeeeeeeeeeeeeeeee nitawagandisha mgandiane ohoooooo
Angelicious njoo huku.
Nimekuja kuna nini hapa?
:violin: za jioni mamii!
Kanianza mwenyewe me niko na mpenzi wangu wa moyo Daudi1
wanadai eti wametuona... sasa sijawaelewa kabisa my X sweetheart wangu jamani!
sasa akikuanza washindwa nini kumpa makavu akianguka dhambini mi nadili na wewe tu
mamii kwani mimi na wewe tumegombana? sasa kwanini tukiongea unapanik hivyo? eenh?
remember i loved you soo much.. and you loved me too!!!
Wametuona tukufanya nini? Jamani si tulikuwa tunasalimiana au kuna ubaya X's wakisalimiana?
hahahaaa shemejiii, mbona wataka kuyamwaga mbele ya baba!!!! hujui kua twaibia shemejiii...
ww unamwibia wakat naona shem sio vizr
Mmhh!!! Malkia wa Excel yamekuwa hayo? Aku usideal na mimi deal na King wako mana wakati shetani anampitia miye sitakuwa naye atakuwa peke yake