MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

sina hayo.. huyo kanisonya msonyo wa haja!!! msonyo ambao kwa mkurya ni dharau kubwa saaaaaana!

halafu kwa kunionesha dharau zaidi, kakimbilia kwa mwanaume ambae ni adui yangu kabisa!
Angelicious sitaki kuona miguu yako hapa! hiyo parokia ikuoe na ikuzalishe...! thank GOD we were not approved!

We sema ulikuwa una yako si nilikuomba msamaha? Loh!! Mwanaume wewe una gubu kama ndugu wa mume
 
Last edited by a moderator:
We sema ulikuwa una yako si nilikuomba msamaha? Loh!! Mwanaume wewe una gubu kama ndugu wa mume
ha!ha!haaa na kiburi kishaanza mwe! usijal wifi angu Angelicious mi ndo mwenyeki wa watalaka njoo kwenye register buk kiingilio mia tano tuanzishe chama cha vikoba.
 
Last edited by a moderator:
sikukomeshi wewe bhana ila huyo zilipendwa Window7!!ngoja nikuitie we wifi Angelicious unaitwa na Excel huku mbona hvyo ah!
Excel na wewe usizuge uckute umemwona mgeni ndo unatafta sababu mwone kwanza wifi njoo tulianzishe huku.[/QUO

Abee wifi naona umeniita nimekuja kuna nini hapa huyo kaka yako analalama nini?
 
Last edited by a moderator:
ha!ha!haa my X hubito Window7 come and see by yoself hki kibuti hataare.

Ha!ha!ha!ha!haa. Nimefurahi sana sijui kwa nini. Hebu njoo huku tukumbushie mtalaka wangu
 
Last edited by a moderator:
We sema ulikuwa una yako si nilikuomba msamaha? Loh!! Mwanaume wewe una gubu kama ndugu wa mume

Achana nae huyo shemeji. Mtoto mzuri kama wewe hupaswi kua na huyo mkurya kila siku mangumi. Njoo huku upepo unakoanzia upumzike.
 
sikukomeshi wewe bhana ila huyo zilipendwa Window7!!ngoja nikuitie we wifi Angelicious unaitwa na Excel huku mbona hvyo ah! Excel na wewe usizuge uckute umemwona mgeni ndo unatafta sababu mwone kwanza wifi njoo tulianzishe huku.[/QUO Abee wifi naona umeniita nimekuja kuna nini hapa huyo kaka yako analalama nini?
anasema kilichokupeleka parokiani ki2 gan?kama hela anakupa,dushe mpaka unakinah tatizo nini hayo maumbi wifi Angelicious au kuna jipya?
 
Last edited by a moderator:
tobaa mimi tena nifanye mpango Window7 mbona bazazi hvyo jaman haya njo piemu haraka useme una sh ngap fasta nrekebishe mie ikishndikana kama kawa.

Nakuja hapo ghafla. Keep it open
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom