MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

sikukomeshi wewe bhana ila huyo zilipendwa Window7!!ngoja nikuitie we wifi Angelicious unaitwa na Excel huku mbona hvyo ah!
Excel na wewe usizuge uckute umemwona mgeni ndo unatafta sababu mwone kwanza wifi njoo tulianzishe huku.

sina hayo.. huyo kanisonya msonyo wa haja!!! msonyo ambao kwa mkurya ni dharau kubwa saaaaaana!

halafu kwa kunionesha dharau zaidi, kakimbilia kwa mwanaume ambae ni adui yangu kabisa!
Angelicious sitaki kuona miguu yako hapa! hiyo parokia ikuoe na ikuzalishe...! thank GOD we were not approved!
 
Last edited by a moderator:
sina hayo.. huyo kanisonya msonyo wa haja!!! msonyo ambao kwa mkurya ni dharau kubwa saaaaaana! halafu kwa kunionesha dharau zaidi, kakimbilia kwa mwanaume ambae ni adui yangu kabisa! Angelicious sitaki kuona miguu yako hapa! hiyo parokia ikuoe na ikuzalishe...! thank GOD we were not approved!
saasa mura hapo maama bhoke amekosea mura!ungempiigha kibao cha kerebu!!ila nliona ka kakuomba msamaha vile au nimekosea?
yaale yale ndoa sasa imekuua ndoano!! ila pole ngoja aje hapa atakiöna cha mtema kuni.
 
Last edited by a moderator:
saasa mura hapo maama bhoke amekosea mura!ungempiigha kibao cha kerebu!!ila nliona ka kakuomba msamaha vile au nimekosea?
yaale yale ndoa sasa imekuua ndoano!! ila pole ngoja aje hapa atakiöna cha mtema kuni.

msamaha?

msamaha wakati kakimbilia kwa mtu ambae nina uadui nae? kama kaja kuniletea sumu ndani?

aisee niko tayari kuishi mwenyewe...!
 
si haya yanayojiita maparoko! nimesema akae huko huko!!! ntamcharanga fimbo akijichanganya!
maamaaa!kumbe hao mabazazi kubali yaishe tu ndugu yangu ishakua siri ya ndani tayari.
 
thanks jaman ujue the day unaniacha nliwapa shida sana Excel n Angelicious nlizimia almost mara 3 nkalazwa n all that bt thanks to baba paroko Kaizer aliniombea nkawa poa so endelea n life lako let us be friends nimeokoka nw ubazazi tena basi.

Umeokoka au uko kwa Jipu. Ninavyokujua ww huwezi kukaa siku mbili bila kupetiwa.
 
Last edited by a moderator:
ntakfumua wewe subiri nakwambia ntakufanyia maombi ya mzigo Window7 akija kwako dushe haiimbi pambio!

Hebu acha kumtisha kigori wangu. Ebo! Dushe langu halitishiwi nyau. Ukiliombea njaa natafuta mkuyati. Ha!ha!haa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom