MMU Fursa BET

Mi nataka maombi ya wk nzma n kwangu mbal nkae ukouko parokian

Parokiani hairuhusiwi ila watawa peke yake. Ila unaweza kukaa kwangu utokee hapo kuelekea parokiani.

Wahi, nafasi ni chache!!!
 
Namuamini sana paroko mwenzangu!!
 
Namuamini sana paroko mwenzangu!!

na ningeshangaa sana usingesema hivyo!

mabazazi wasititeane? qudadeki... mi niko huku miti mirefu naangalia usawa mwingine!
 
Parokiani hairuhusiwi ila watawa peke yake. Ila unaweza kukaa kwangu utokee hapo kuelekea parokiani.

Wahi, nafasi ni chache!!!

impressive! mkuu kwani Smile nani yako vile?

hahahhaaaaa!!! tilitililiiiii!!!
 
Last edited by a moderator:
na ningeshangaa sana usingesema hivyo!

mabazazi wasititeane? qudadeki... mi niko huku miti mirefu naangalia usawa mwingine!

Utapiga domo sana lakini kondoo wanaendelea kupata wakitakacho parokiani!!
 
sasa haka kabinti si mnakamliza?

mwili wenyewe ule saiz ya chupa! afu mnaingia nyie miili ya big show na umaga!

murder kesi hii!

Hujui kuwa reli ni nyembamba lakini inaibeba treni na mabehewa yake?
 
yaani excel, ankal wangu Kaizer ni soon atapewa cheo ndani ya teambazazi maana ameshaqualify ubazazi.
 
Last edited by a moderator:
yaani excel, ankal wangu Kaizer ni soon atapewa cheo ndani ya teambazazi maana ameshaqualify ubazazi.

hivi mamii si ulisemaga unakimbia parokia? halafu nikakwambia kabisaaa ntakupa hifadhi..!

huu ndo muda sasa! secret revealed!
 
Husninyo yupo mbona.....sema kakukimbia #teambazazi , ila parokiani yupo, ana majukumu ya ndani zaidi sasa hivi huwezi kumwona ona

hujasikia yule mmasai sijui Phlagiey naye anataka Uparoko...mchezo? Eiyer anamjua

naona viongozi hamjapeana updates, husninyo kakimbia na anampango wa kujaribu parokia ya Asprin, nahisi kule hana matatizo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…