kumbe hapa ndo unapopumzikia?
Ha ha ha!! Kumbe alikuwa hajakutell ndo hivyo shem au ni TEAMBazazi mwenzio?
Angelicious please note mimi ni PAROKO....ila Excel unajua vizuri ni nani kwenye #teambazazi
ha!ha!haa paroko hapana nimesamehewa na nnajiondoa kwa amani ya bwana.
hahahaa Angelicious, mimi na Eiyer wote ni maparoko, wasaidizi wetu wapo masista kina mwallu Husninyo na wengineo..sasa ukubwa wa shughuli ya J.lee inabidi tu tuwe wawili!
Am a new comer here