Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,760
- 14,005
Hahaha!!! unakumbuka siku ile nilikutonya ukamtetea...??
ninakumbuka na nilimtetea mara nyingi tu lakini ananiangusha tu....sijui nitaweka wapi uso wangu kwa walimwengu
Hahaha!!! unakumbuka siku ile nilikutonya ukamtetea...??
ww hupendi sawa lakini hawa wanambinu nyingi, nilikuwa nakutahadharisha tu...hubby wangu namjua mwenyewe anapenda vidosho sana na anavimbinu vyake vya ubazazi akikubananisha huchomoki...teh teh teh
paroko wangu kaniangusha asee
au ndo majaribu?
binti unataka maombi....?Kwan baba paroko Kaizer nawe una mke? Nlitaka kuja kufanyiwa maombi
Kwan baba paroko Kaizer nawe una mke? Nlitaka kuja kufanyiwa maombi
karibu sana tenchy, nafurahi kuwa wa kwanza kukupa 'like"...hiyo ndo buttom ya muhimu, ya pili ni hii ya "send Private message" au kifupi send PM apo chini kushoto, unaweza kuniPM kwa ajili ya maongezi na muongozo zaidi,,,asante
tenchy maombi yanakuhusu ila kwanza mwongozo...mimi nina sio mke bali wake, wakiongozwa na AshaDii, gfsonwin na kipenzi changu DEMBA 9ananipenda sana nami nampenda)Kwan baba paroko Kaizer nawe una mke? Nlitaka kuja kufanyiwa maombi
ninakumbuka na nilimtetea mara nyingi tu lakini ananiangusha tu....sijui nitaweka wapi uso wangu kwa walimwengu
Usijali mwallu majaribu ni mtaji wa kuongeza imani chezea under 20 majaribu lazima yampate mtumishi
Excel alishanifanyia maombi ya deliverance au kuna maombi mengine yanahitajika zaidi?Angelicious, angalia ypou may be in for a rough ride, njoo ufanyiwe maombi parokiani
cc Eiyer mwallu Excel
Excel alishanifanyia maombi ya deliverance au kuna maombi mengine yanahitajika zaidi?
aah wewe..nimetetea wapi sasa?
paroko nae hujaribiwa hata ivo
yaani
ila bado naamini atashinda
mwallu, huyu kaamka na hnagover za Man city kufungwa jana.. Angelicious tumwite kundini, na huyo tenchy pia