you are old mzee! kwani mke wa excel ni nani?
Nakuja piem
sikua hata na mimba kaka angu hv niko kiwanjaa najirusha nimelituma linifulie ka bushoke vile mimbaaa mimba kijijini mjini maelewano
kwani excel ni mpenzi wako hadi umuulize swali la hivi?
Wageni wenye mikwala kama huyo wajanja tunavuta pumzi kwanza tuangalie mienendo yao.....Stuka!!!
mke wangu... you talk too much!
iam in a different mood now! i need to rest! you get me my Angelicious?
Aaahh!! Now ndo unajidai I need to rest mxxxiuuu baada ya kumuona kiwatengu hebu nielezee nielewe which is which?
Nasubiri akuache rasmi
waione Eiyer, Angelicious, Window7, mwallu, Husninyo, DEMBA, J.lee, mango g, mwekundu, Mashaxizo, Mtambuzi, Nicas Mtei, lara 1, miss neddy, kiwatengu, KOKUTONA, Heaven on Earth, watu8, charminglady, ladyfurahia (pole sana kwa kupigwa ban dadaangu), measkron, Eli79, Ruttashobolwa, kabanga, karucee, Asprin, Arushaone, Lady doctor, Passion Lady na wengineo watakaoingia hapa bila kutoa comment!!
jamani huyu nae yumo kwenye kundi la mabazazi! anatumia mwamvuli tu jamani!!
mimi nimeokoka kwa muda! ahsanteni!
nimefunga box la PM kwa muda... tutaonana jamani wadau wa MMU!
nawapenda wote!!