MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

ayayayayaaaaa!!!

mimi tena naitwa diha?

mamamaaaaaa!! ngoja nikuitie watu wako.. haya Window7.. J.lee.. Jipu na kijana Asprin!!

come and pick up your kid!!

hee viji2 vingne bna! yan kuitwa diha na mm ndo ushajikuta sta? kid shangazi yako! af diha hao unaowaita wa2 wng mm nimewaumba? untafe babu/bibi eeee
 
Last edited by a moderator:
Hahaha unalo leo. Ndo tushakumwaga hivyo. Sasa tunatafuta mke wetu mmoja tuwe tunashea. Mi na Window7 hatujakutana barabarani.

Atapanda daladala mpk makonda wampe zamu ya kukusanya nauli.
 
Last edited by a moderator:
Mi nimejiweka pembeni kuepuka msongamano. Window7 nae akaona isiwe tabu naye kajiweka pembeni kuepuka maandamano. Mtoto wa watu kikojoleo lazima kizibe kwa kutu.

Hata shep anayolingia itapotea bila mavituz kutoka kwa wajuzi sie. Masikini J.lee
 
Last edited by a moderator:
diha had nw cjampata muandishi mzuri wa barua na mashahiri ya taarab kama ww humu mmu!

We mtoto taratibu naona unahamia anga zangu miye siyo hao wenzio nitaku_ufoo saro nani diha wako? Excel my hubby tell her hakuwepo muda mrefu naona hajui kinachoendelea hapa
 
Last edited by a moderator:
We mtoto taratibu naona unahamia anga zangu miye siyo hao wenzio nitaku_ufoo saro nani diha wako? Excel my hubby tell her hakuwepo muda mrefu naona hajui kinachoendelea hapa

mwache switie!

si unajua tena ukipigiwa honi ghafla upande wa kushoto, kulia, nyuma na mbele lazima uchizi!!

ndo hivyo... mpe siti akae.. asije akalala nje! msaidie tu kama mdogo wako!
 
mwache switie!

si unajua tena ukipigiwa honi ghafla upande wa kushoto, kulia, nyuma na mbele lazima uchizi!!

ndo hivyo... mpe siti akae.. asije akalala nje! msaidie tu kama mdogo wako!

Kumsaidia nitamsaidia kama mdogo wangu lkn angalizo lazima nitoe asije akakuzoea
 
Kumsaidia nitamsaidia kama mdogo wangu lkn angalizo lazima nitoe asije akakuzoea

mi tena aanzie wapiii!!!

kila wakati niko kwenye uno langu mama namwaya mwaya!! hebu endelea kujimwaga bana! mwache huyu mwanampotevu apumzike!
 
We mtoto taratibu naona unahamia anga zangu miye siyo hao wenzio nitaku_ufoo saro nani diha wako? Excel my hubby tell her hakuwepo muda mrefu naona hajui kinachoendelea hapa

shost sory...! yan kumuita huyo kinyago chako cha mpapure diha na ww umeshtuka? hii couple yenu ya aina gan jaman? in short cna shda nae hta bure!
 
Last edited by a moderator:
shost sory...! yan kumuita huyo kinyago chako cha mpapure diha na ww umeshtuka? hii couple yenu ya aina gan jaman? in short cna shda nae hta bure!

Shosty uzuri wa mtu upo kwa yule anaemtizama kwako wewe kinyago cha mpapure me bonge la hand some siambiwi sisikii kwa Excel wangu
 
Last edited by a moderator:
whaaat? J.lee umemwacha? na ile mimba aliyokuwa anajirusha nayo kwako itaenda wapi? masikini J.lee!! pole mama!
sikua hata na mimba kaka angu hv niko kiwanjaa najirusha nimelituma linifulie ka bushoke vile mimbaaa mimba kijijini mjini maelewano
 
Last edited by a moderator:
Atapanda daladala mpk makonda wampe zamu ya kukusanya nauli.
jidanganye tu nakwambia nna gari zangu mbili babu eh!na nyumba kigamboni mjini hapa kazi ufanye wewe nyumba tujenge sisi ha!haaa na hv naenda chkua mzigo chinaaa.
 
mi tena aanzie wapiii!!!

kila wakati niko kwenye uno langu mama namwaya mwaya!! hebu endelea kujimwaga bana! mwache huyu mwanampotevu apumzike!

kumbe hapa ndo unapopumzikia?
 
yan we kijuso cku nikikukamataaa....! utataja jina lang la ubatizo, pepo we
nakwambiaje we baki na bushoke lako usintishe na ukiendelea kunisumbua utaitaja besdei ya bibi ako nakwambia
 
Back
Top Bottom