Kijana unachochea sio? Chunga sana nitaweka maovu yako hapa shemeji Angelicious aone. We haya.
MKE wangu Angelicious ni mtetezi wa haki za wanawake wenzie!
haiwezekani wanyanyaswe hivi akiona kwa macho yake.. lazima tukunyang'anye wakezo wote watatu ( MankaM nae naona ankuja juu!!! sijui J.lee ataweza mziki wa mmbulu huyu!)
Kijana unachochea sio? Chunga sana nitaweka maovu yako hapa shemeji Angelicious aone. We haya.
eeeehhhh!!!! mbona kama sikuelewi elewi vile mpenzi wa mimi, kwa hiyo unataka uniongezee wenzangu watatu
mmmhhh!!! patachimbika sijazoea kushare ati naanza kuamini huenda na wewe ni TEAMBazazi
wiifi wifi mwenzako akinyolewa zako tia maji ujue haya tu wavaa model hawatabiriki hawa mi najipanga upya kutafuta mvaa bwanga ohoo.eeeehhhh!!!! mbona kama sikuelewi elewi vile mpenzi wa mimi, kwa hiyo unataka uniongezee wenzangu watatu mmmhhh!!! patachimbika sijazoea kushare ati naanza kuamini huenda na wewe ni TEAMBazazi
usijali tangaza ujaribu bahati yako unaeza pata fursa mkuuNingetangaza nia ila dah, kama vikongwe wapo sitafua dafu.
wiifi wifi mwenzako akinyolewa zako tia maji ujue haya tu wavaa model hawatabiriki hawa mi najipanga upya kutafuta mvaa bwanga ohoo.