sitaki! sitaki! sitaki!unaninyanyasa sana Window7 tena si mimi tu na hiki kiumbe kisicho na hatia!! ah!mtoto amecheza mara moja tu leo na ukitaka amani twende wote clinic kesho.Wife usinifanishe na wavaa modo Hawajui mahabatein. Njoo kwangu bebii. Vp katoto kanaendeleaje hapo tumboni? Nimemis kiss lako
i love you too!beb kichef chef naomba ndimu kwenye fridge!Stoooooop..! I love You mamii. Mwaaaah
;-(;-(;-(Usirud bebii please. Nimechukua new hous kwa ajili yako
wiifi wifi mwenzako akinyolewa zako tia maji ujue haya tu wavaa model hawatabiriki hawa mi najipanga upya kutafuta mvaa bwanga ohoo.
we acha tu wifi angu!mwanamke uvumilivu ntafanyaje nliyataka mwenyewe kwa hela tuu ah!nampongeza ila michepukooo loh!Ha ha ha!!!! Pole wifi yangu me mwenzio Excel wangu anavaa mabwanga nimeridhika naye hivyo hivyo kazi kwako na vimodel vyako
Wife usinifanishe na wavaa modo Hawajui mahabatein. Njoo kwangu bebii. Vp katoto kanaendeleaje hapo tumboni? Nimemis kiss lako
dah!yani mpaka katoto kamecheza i labu yuuu! umeamka barafu wa fride ya moyo wangu?pole na mauchovu ya usingizi bebioo
shogangu sooma tangozo hapo ulione na utuacheee!jaman windo! mbna ckuelewi
dah!yani mpaka katoto kamecheza i labu yuuu! umeamka barafu wa fride ya moyo wangu?pole na mauchovu ya usingizi bebioo
toba nimefumwa hapana bebi twende piemu nkakwambie vizuri jamani.Ahaa kumbe. Ngoja ni opt kwenye mchepuko.