Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
toba nimefumwa hapana bebi twende piemu nkakwambie vizuri jamani.
Nshafika nasubiri utetezi wako. Unambie kabisa na huyo mtoto mnaemzungumzia ni nani.
toba nimefumwa hapana bebi twende piemu nkakwambie vizuri jamani.
valentini day uliniacha solemba nkatoa fursa ila kisima cha kale hakifukiwi babu!Ahaa kumbee.... Uzuri ni kuwa hata makombo yanashibisha. Ngoja nifanye super sub.
valentini day uliniacha solemba nkatoa fursa ila kisima cha kale hakifukiwi babu!
jaman mtoni utazama njoo uchote kisimani!Baki huko huko na kisima chako. Maji ntateka mtoni. Ndo nshakwambia
mbona kuna foleni kwenye piemu yako kuumbe nishajua sasa na mi nimenuna sasaNshafika nasubiri utetezi wako. Unambie kabisa na huyo mtoto mnaemzungumzia ni nani.
mbona kuna foleni kwenye piemu yako kuumbe nishajua sasa na mi nimenuna sasa
noo bebi huyu babu tunakaa nae jirani kijijini anapendaga kweli kuntania tania yani ndo hvyo!Whaaaaaat??? Ngoja nimtafute kichuna wangu tena kumbe unanidanganya eeh. Hata hyo mimba nahsi fake lete vpimo ghafla bin vu.
najua ni hasira tu ukipoa yataisha ka tulivyoyamaliza kwenye mchepuko wako.Na kwangu pia stoop.
sasa wote siwataki bazazi at work nyumba,gari n mijihela ushanipa n mimba sina nataft fursa nyingine eboo.Hakunaa. Huyu kwolokwini nilikuona nae siku nyingi.
noo bebi huyu babu tunakaa nae jirani kijijini anapendaga kweli kuntania tania yani ndo hvyo!
Hakunaa. Huyu kwolokwini nilikuona nae siku nyingi.