J.lee
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,672
- 834
jamani isiwe tabu tena hayawahusu eeh!haya makubaliano yetu mi na bebi Window7 huyo mango g alipendwa akaringa mie nkachkua fursa tatizo liko wapi?
Last edited by a moderator:
jamani isiwe tabu tena hayawahusu eeh!haya makubaliano yetu mi na bebi Window7 huyo mango g alipendwa akaringa mie nkachkua fursa tatizo liko wapi?
bebi Window7 ananipenda tena sana na mi nalijua hilo hayo ni mapito tu palipo na mafanikio hapakosi dosari.
haina kuliwa hiyo bebi kapagawa na mimi haniachi miaka ef kumi.mapito au ndo ushaliwa? we vipi?
bebi naomba useme hapa hapa la sivyo hakieleweki remember am carrying yo beb boy ooh!
shogangu niwie radhi wanawake 2ko weng kuliko wanaume ntafanyaje unadhani na we ukisusa wenzio twala shoga we kudenguua wiki 3 nzima nkaona c haba nimtoe ukiwani Window7 nisamehe 2 jaman n we bebi uje utoe maelezo vya kuniaibisha mbele ya majiran cpend cpend kabisaa nasema ntasitisha huduma zote.