MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

Sasa huyo ana mgongo au ana kifusi cha zege!!

Angalia usije ukajikwaa bana!

Mgongo gani una matuta kama ya zebra crossing?

Kijana!! Last warning..! Next time nitakusweka jail. My wife achna nae huyu young boy njoo kwa mtu mzima mwenzio
 
My love kuna nini kinaendelea hapa? Halafu jana umenichunia nimenuna

Ha!ha!ha!ha!ha!ha.. Hana hela huyo kijna wako. So sad. Ngoja niongee na wife J.lee tuone tutawasaidia vipi. Siku nyingine usiende tena kwa hawa serengeti sawa jirani?
 
Last edited by a moderator:
Kijana!! Last warning..!
Next time nitakusweka jail. My wife achna nae huyu young boy njoo kwa
mtu mzima mwenzio

kwanza pili pili asoila yamuwashiani jaman?hata hantish beb mi n we mpaka kieleweke.
 
Ha!ha!ha!ha!ha!ha.. Hana
hela huyo kijna wako. So sad. Ngoja niongee na wife
J.lee tuone tutawasaidia vipi. Siku nyingine
usiende tena kwa hawa serengeti sawa jirani?

baelezee!baelewe wananiona mjiinga mie kumbe zilipendwa ndo zinaujumbe waache 2!! mi bebi na wewe 2!ukiniacha sumu nageuza mboga utanizika au unabisha?
 
Last edited by a moderator:
baelezee!baelewe wananiona mjiinga mie kumbe zilipendwa ndo zinaujumbe waache 2!! mi bebi na wewe 2!ukiniacha sumu nageuza mboga utanizika au unabisha?

Ha!ha!ha!haa Sikuachi jamani
 
ha!ha!haaa!haya ngoja nigeuke Manka sasa bebi umepata sh ngapi leo?

Bebi leo maingizo sio mabaya. Pendeza tutoke.. Usisahau kula kale kakungu kako nione jicho lako likiomba site.
 
hahahahaaa kwan Jipu hajapatikana wa kumhusudu bado tu
 
kwako mke wangu Angelicious...!

nakupenda sana!
images




jipatie kwanza msosi wa maana! jisonsomole mwanawane..!
inthecrock.jpg


nakupenda sana mke wangu!
 
Last edited by a moderator:
kwako mke wangu Angelicious...! nakupenda sana!
images
jipatie kwanza msosi wa maana! jisonsomole mwanawane..!
inthecrock.jpg
nakupenda sana mke wangu!
eh!jiran yangu kukukaribisha chakula ndo upige na picha kuleta huku mwee jamaan.
 
Last edited by a moderator:
eh!jiran yangu kukukaribisha chakula ndo upige na picha kuleta huku mwee jamaan.

nampenda sana malkia wangu..

ukijisikia kufa, we kufa tu!

sie twalana mchana kweupeee ndani mwetu!

I LOVE YOU angeX!

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom