MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

Unasema?????
A%20S%20cry.gif

no bebi nlikosea ujue shemeji Jipu alikuja kukuuliza hapa sasa dah!nimechanganya mafile kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Angelicious
hubby wangu... naomba niseme nakupenda sana wangu wa moyo!

hatokaa atokee mingine kama wewe, unless in any circumstance.. I LOVE
YOU ANGEX (kuanzia leo hubby hio ndio trademark yako
kwangu!)

wizi wizi tu!
 
Last edited by a moderator:
umeamkaje jirani yangu?

yani hata salamu huna ndugu yangu?

hujafunzwa huko kwenu sumbawanga?

Nani kakuambia wife yuko Sumbawanga kijana. Hebu jifyate na nisikuone unamsumbua
 
Hahaha! Mkeo ana matatizo mengi sana!

Especially finacial weaknesses!

Nadhani jana alisaidiwa laki mbili hivi na mama watoto wangu ang...

Utasaidiwa sana matunzo masikini mkubwa ww!

Nani kakuambia wife yuko Sumbawanga kijana. Hebu jifyate na nisikuone unamsumbua
 
Last edited by a moderator:
Ndio ninapokupendea hapo. Una mapenzi yakikubwa. Come ghafla pm bebii

nakuja bebi namalizia kukaanga mahanjumati ule unenepe!utaoga maji ya moto au ya baridi?na niyaweke hiriki kidogo ama mdalasini chagua 2 bebi ucjal panda mgongoni ukaoge!ha!ha!ha!haaaa.
 
umeamkaje jirani yangu?

yani hata salamu huna ndugu yangu?

hujafunzwa huko kwenu sumbawanga?

nimeamka salama jirani bize na usafi usafi kidogo j.mosi leo mara bebi wangu Window7 atake massage nkabanwa na shughuli haya mmeamkaje na Angelicious huko?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha! Mkeo ana matatizo mengi sana!

Especially finacial weaknesses!

Nadhani jana alisaidiwa laki mbili hivi na mama watoto wangu ang...

Utasaidiwa sana matunzo masikini mkubwa ww!

weee!akat mkeo ndo kaja kuniazima mchango wa kitchen party hapo alipo hata hela ya sare hana umaskini mbaya sana.
 
Last edited by a moderator:
Hebu funga mdomo!

We are counting billion of dollars inside.!

Mwanamke gani wewe unatembelea mguu mmoja wakati yote ni mizima?

Huu uchawi sasa...!

ha!ha!ha!haaa!! unacount billions kwa ku2mia mate njoo nkuazime counting mashine nimeletewa zawad ya valentine na Window7.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom