excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
jamani si ameniambia yeye ni wifi yangu, sasa nitaachaje kuwa karibu? mbona wanitafutia ubaya kwa nduguzo??
halafu siku mbili tatu uje useme sipendi nduguzo?
mmh.. kuna kitu nilikiona jana kidizain fulani kama nakatwa kwa Window7? hebu niambie huyu mfa maji Window7 ana sema nini kwako?
sita sita kutumia mabom ya machozi kumuondoa mtaani kwangu..!
Last edited by a moderator: