MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

sasa utajua ka mi nimetoka Tanga nakwambia ukiamka asubuh some stuffs zote hazipo na kesho valentine utashnda ndan nakwambia.

Kumbe wakitanga weye??!!!?? Njoo pm ghafla
 
loh!! punguza wivu husband hamna lolote kwa huyo Window7 hata habari naye sina
kwanza yeye size yake ni hao kina under 20 usiwe na wasi wasi my hubby

Njoo kwangu weye achana na huyo Excel he hav money in theory.
 
Last edited by a moderator:
tanga? aah wapi!

tanga naijua mwanza mwisho..!

kuanzia MAKORORA, MAKANGARA KUANZIA KWA MCHAWI MKUU MAJI MAREFU.. WOOTE HAO NAWAPATA!!

HAO WACHAWI WENU WOOTE NILISHAWAACHIA ALAMA ZA ALAMA ZA MAPANGA VISOGONI!

iam unrogable!!

Hebu acha kumtisha J.lee wangu.

Cc mke mkubwa J.lee
 
Last edited by a moderator:
ona anavyotingishika vidole..
hivi wewe haulagi?

mbona maisha yanakuhangaisha hivyo weweee?? umri ushaenda !! olewa basi
utuondolee shida bana!!

nshachoka kukonyezwa.. jicho ka indicator ya trekta!! khaa!!

yani wewe.. Window7
Jipu na hicho kipopo bawa chenu..
mango g.. ngojeni nije!!

he!he!heee hatukuogop babu weweee!we ndaala 2!
 
Last edited by a moderator:
nakuja bebi nifungulie.

Come bebi pasword just legeza lile jicho lako la kungu. Halafu unakumbuka kale ka ahadi ketu ka kwenda Sinza pale EAIVADA kula bata zis valentine night!!!?? Au tubadilishe location my bebioo
 
labda juu ya mnazi lakin holofa hili hili 2lilojenga mi na Jipu utasubiri sana nakwambia.

Unasema?????
A%20S%20cry.gif
 
Come bebi pasword just
legeza lile jicho lako la kungu. Halafu unakumbuka kale ka ahadi ketu ka
kwenda Sinza pale EAIVADA kula bata zis valentine night!!!?? Au
tubadilishe location my bebioo

bebii 2hame Excel kashajua 2lipo atakuja ku2nukisha jasho la umaskini ntakwambia piemu nshaweka pasiwedi tayar.
 
Last edited by a moderator:
Angelicious hubby wangu... naomba niseme nakupenda sana wangu wa moyo!

hatokaa atokee mingine kama wewe, unless in any circumstance.. I LOVE YOU ANGEX (kuanzia leo hubby hio ndio trademark yako kwangu!)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom