MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

bora ackie ajue kama ww ni tatzo! yan sikupend sikupendi SIKUPENDIIII!

we mtoto..! ushawahi kupigwa burn?

haya hebu omba msamaha!

mpende Window7 kwa lazima sasa!
 
Last edited by a moderator:
we mtoto..! ushawahi kupigwa burn?

haya hebu omba msamaha!

mpende Window7 kwa lazima sasa!

eh!ndo yale yale ya maama bhoke rara nikurare!!!ha!ha!ha!haaa
 
sasa hiki ni kitoto ghani kisichoerewa!!?

imetongozwa weeeeee bado kinadengua!!

kiseme sasa kinataka nini tuelewe!!

arrrrraaaah!!
 
ha!ha!haaa! bhabha bhoke taratibhu sasa Mura eh!katoto katakimbia omera eh!
 
we mtoto..! ushawahi kupigwa burn?

haya hebu omba msamaha!

mpende Window7 kwa lazima sasa!

Ha!ha!ha!ha.. Safi sana kijana good promo hii natumai atakuja tu kwa mashart nafuu
 
Last edited by a moderator:
Second quote hiyo hujanijibu kwa nini ifungwe?

kwanza kabisa Angelicious.. nichukue nafasi hii adimu kukuandalia maji maalum.. maji vugu vugu kabisa..

maji yenye virutubisho vyote... maji laini mama.. maji haya..!! naomba tafadhali ukaoge!!!!

goodmorning Angelicious!!
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi uwekwe stick

aaah wapi!!! itoto chenyewe sijui vipi!!

sijui kinapoteza netiweki!! mara leo inasema kinampenda Asprin.. mara esho kinamwita mwanga!!

kesho kinamparamia Jipu.. oh mama! baada ya nusu saa kinapandwa na madudu, inamuita jeep jina lile lile la asprin!

sasa sijui kipendweje!!
 
Last edited by a moderator:
ha!ha!haaa! bhabha bhoke taratibhu sasa Mura eh!katoto katakimbia omera eh!

mimi sasa ntakipiga maofi ya nanii..!! teh.. teh..!

kikizingua na mimi ntakipigha kabhisa!!
 
kwanza kabisa Angelicious.. nichukue nafasi hii adimu kukuandalia maji maalum.. maji vugu vugu kabisa..

maji yenye virutubisho vyote... maji laini mama.. maji haya..!! naomba tafadhali ukaoge!!!!

goodmorning Angelicious!!

goodmorning Excel walah!! haya mahaba niue sijawahi yapata ingawa natokea kule mahaba hayo yalipoanza
na wewe pia ni kule kule nini? haya ahsante, wakati naoga naamini utakuwa unaandaa chai tena ya chai ya kike
 
Last edited by a moderator:
goodmorning Excel walah!! haya mahaba niue sijawahi yapata ingawa natokea kule mahaba hayo yalipoanza
na wewe pia ni kule kule nini? haya ahsante, wakati naoga naamini utakuwa unaandaa chai tena ya chai ya kike

MIE tena!! afu usiseme chai..! sema chai ya tangawizi bana!!

afu kabla hujaenda oga, nakubeba mgongoni huyoo! nakuzungusha kwanza, kama awaida uch kuch dk 2, nakuunja na taulo, nakupeleka bafuni kwa mikono miwili!

nakusugua mgongo mie.. sina mda na maneno ya watu!!! ndege wangu, kwanini waniulie wengine? ukimaliza kuoga, uniambie nije nikufute maji bebi!

afta zea, nakubeba mpaka chumbani.. ! chai twanywea on the bedi! mahaba niue!
 
ha ha ha!!!! kweli mahaba niue ndo mana nikasema chai ya kike ndo chai yenye tangawizi. nishamaliza miye njoo huku unifute
 
Itabidi tuunde tume huru ichunguze mambo kati yako na Excel
:majani7:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom