MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

Shemeji hakujui huyu. Ila
imekuaje ukampa fursa babu Asprin bila kunihakikishia ndoa kwa under
20?

eh!shemeji ukiona manyoya ujue kashaliwa kanishinda mie beibi wako ngoja ntengeneze yangu.
 
eh!shemeji ukiona manyoya ujue kashaliwa kanishinda mie beibi wako ngoja ntengeneze yangu.

Shemeji babu Asprin kakuchanganya kweli. Na kale kazawadi kako nakarudisha kabatini
 
Nasimama mbele ya Umma jamii na kadamnasi,
Nahisi kuvuja jasho jembamba na mtiririko wa kamasi.
Siyo siri kwa mtandao huu, Inspector Nimeuawa kikatili
Kwa kumpenda mtoto wa kicolored, babad, mweusi, uso soft usio chunus
Natural color Chotara,mrefu, mng'avung'avu, maji ya kunde kenda hewani sekunde.
Kwao Orbey, Oyersterbay, Masaki, binti huyo mtanashati
Mbwa mkali, geti kali, mambo yao super siyo diesel, usafiri wa kifahari
Chaser mayai, vioo vya button, ndani viyoyoz.
Kila siku akitaka anachange, corando, royce-royce Range, mara mecedes benz.
Wakati msela kajamba nani, maisha temeke mikoroshini
SINA HATA BAISKELI!

natumai hii mistari haitamfikia mango g
 
ila mkuu mi haka kamanzi sikapendi kama nini!! Kana channel of distribution kubwa sana!!

Middle men wako wengi mno mpaka price imekuwa very high... Mi huwa napenda direct channel tu!!

Competition sometimes id very harmful...!

Nimekachana... Kakiamua kulia, acha kalie tu!

Ila nimejikuta nakapenda tu.
 
bebi windo njoo uone excel ananionea...

Nimemuona bebi. We niachie huyu kuna kabastola nimekanunua hakajipga hata shot 3 katahusika akiendelea kukuudhi dia wangu.

Njoo pm basi diha tufanye mipango ya ndoa.
 
Nimemuona bebi. We niachie huyu kuna kabastola nimekanunua hakajipga hata shot 3 katahusika akiendelea kukuudhi dia wangu.

Njoo pm basi diha tufanye mipango ya ndoa.

hahahaha naogopa diha
 
Shemeji babu Asprin kakuchanganya kweli. Na kale kazawadi kako nakarudisha kabatini

shemeji zawad we nigaie 2 nimefanya fanya kaz kidogo kuitwa beb,hani si mchezo ujue we dhan masihara 2.
 
shemeji zawad we nigaie 2 nimefanya fanya kaz kidogo kuitwa beb,hani si mchezo ujue we dhan masihara 2.

Kidogo unanishawishi. Fanya mpango basi akubali tutangaze ndoa.
 
haijanifikia mpnz wng kwanza hta cjaelewa katoka wapi na mihogo yake akati wenzie twala pilau

Ha!ha!ha!ha.. Hajui utumbo wako haupitishi mihogo bebi. Ashindwe kabisa huyu
 
ha!ha!haa na watuache movie iendelee Asprin wangu.

Naam, watuwache mimi na wewe tule vyetu kwa raha zetu. Wenye wivu wameze viwembe.

Nakupenda sana J.lee wangu. Ulale unono eh *****.
 
Last edited by a moderator:
Naam, watuwache mimi na wewe tule vyetu kwa raha zetu. Wenye wivu wameze viwembe.

Nakupenda sana J.lee wangu. Ulale unono eh *****.

mh!nakupenda pia Asprin wangu jaman nawe ulale salama ila hyo ***** mh!ngastuka maana we nae una mambo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom