MMU Dar Members: Meeting Proposal.

HTML:
Mkuu inaelekea umetokea DODOMA huko kwa wakina matonya shida yako Uanze kutembeza bakuli tukisha kutana shem on u.Sioni faida yoyote ya kukutana wana jf.Kupoteza muda tu.

Vipi mkuu, mbona muoga hivyo? Kuna faida nyingi sana JF members kukutana na kufahamiana. Just try.
 
We nawe sijui niseme una mawazo mgando...umechoka au umefulia. Kufahamiana na watu na kuomba omba wapi na wapi?!Kama ndio tabia yako au ya watu unaowajua usidhani na wengine ndo walewale.
Umeniwahi siongezi nitaharibu
 
Tukikutana labda tuwe ndani ya mask maana wengine tupo hapa huru kabisa kwa sababu tu hatufahamiani. Napenda sana kutokujulikana ndio maana sichangii mada za mitandao kama facebook
 
Tukikutana labda tuwe ndani ya mask maana wengine tupo hapa huru kabisa kwa sababu tu hatufahamiani. Napenda sana kutokujulikana ndio maana sichangii mada za mitandao kama facebook
kabisa bighouse! Either mask or never! Kweli, Members kukutana huondoa uhuru wa kuchangia mada hasa zile sensitive na kuna ladha flan hv ktk charting hupotea cuz now ur knwn na ukitaka kuandika ki2 unafikiria status yako kwanza, then unaedit coment mpaka unachoka ndo unaipost! Pia kukutana huwa mwanzo wa majungu, kuchafuana na ugomvi kwa baadh ya watu! I hv experienced that ktk mtandao mmoja wa kijamii people zilikutana na kilichotokea hapo ni hatari, ndoa zilivunjika, wengne walifukuzwa kazi kwa kweli ctaki tena kuonana na watu eti members.....! Never...!
 
Reactions: BAK
Bwana wee hiki unachokiongea naona unajaribu kujiprotect mwenyewe ambacho kwangu mimi doesnt make sense at all hapa JF baadhi ya members huwa tunakutana mara kwa mara mpaka members wa JF Dar tulifunga safari kwenda kuwaona members wa JF Arusha and nothing has changed zaidi ya familia kuwa kubwa na tumeweza kusaidiana kwenye mambo mengi tu ya muhimu hata nikutane sijui na nani siwezi kubadilisha comments zangu nazoandika JF eti ili nisionekane tofauti huo nitakuwa nauita ulimbukeni fulani.
 
Kwa anayetaka kukutana nami nipo break point hadi mida ya saa sita mchana. Nikitoka hapo natinga sungu chini kupata supu ya kunguru wa zenji. Jioni ntakuwa the calabash pub. Karibuni tujumuike na tufahamiane.
 
Kula tano mkuu, mimi najuana na wana jf zaidi ya 20, sidhani kama nimebadilika katika comments zangu mimi ndio mimi na nitaendelea kua mimi. Hata nikutane na Raisi wa Inji hii
 
TF namimi nipe hizo 'daireksheni' nije mnapokutana bana, mbona kimya kimya? lol!
 
Kwa anayetaka kukutana nami nipo break point hadi mida ya saa sita mchana. Nikitoka hapo natinga sungu chini kupata supu ya kunguru wa zenji. Jioni ntakuwa the calabash pub. Karibuni tujumuike na tufahamiane.

NN...on a Monday!???
Ijumaa mimi huenda Break point...utakuwa?? baada yakazi..
 
Nitake Radhi Teamo,nipo humu ndani since 2009,
Hebu nipe Link yeyote inayoonesha MMU members walishakutana, au Mkuu we ndo wale wale wanaoingia kwa in box za watu na kfanya arangement juu kwa juu
 
Jamaa ana chiki Binafsi....
 
Mkuu inaelekea umetokea DODOMA huko kwa wakina matonya shida yako Uanze kutembeza bakuli tukisha kutana shem on u.Sioni faida yoyote ya kukutana wana jf.Kupoteza muda tu.
Mkuu we unaishi ulimwengu huu ninaoshi mimi kweli au unatokea Jupiter??
Mie Nakaa Kwa Mtogole, Karibu
 
Kwa anayetaka kukutana nami nipo break point hadi mida ya saa sita mchana. Nikitoka hapo natinga sungu chini kupata supu ya kunguru wa zenji. Jioni ntakuwa the calabash pub. Karibuni tujumuike na tufahamiane.
Respect NN.
Nta ku ni PM ur Mobile No nikuvutie wire fasta
 
Oya wakuu, acheni Masihara,
Inabid tuchague Coordinator wa hii Meeting,it doesnt matter kama mlishakutana au la, tupate Coordinator ambaye atakuwa Responsible na Ku Engineer hii Meeting.
Nashauri Tumpe hii token TEAMO, au kama vp me najipa hii Title
 
Nawatakia mkutano mwema. Mimi tutaendelea kukutana kwa kutumia keyboard.
 
Aiseee....tulio @New York, US Mnatutenga siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…