Elections 2010 mmmmmmm hapo kuna kitu

Kinara

New Member
Oct 23, 2010
4
0
Jamani, sijasikia lolote wala kuwaona viongozi wetu wakubwa kama B. Mkapa, A. H. Mwinyi,spika, na wengine wengi katika kampeni za kumnadi mgombea urais CCM. kuna mtu anajua lolote mtu amelisikia?
 
Nani mjinga na mpumbavu kati ya hao uliowataja anaweza panda jukwaa na kuanza kunadi kitu kilichohoza? Jk hana jipya la kunadi
 
Sababu kubwa ya wao kutofanya hivyo ni kutoombwa na Mh. Kikwete. Kikwete na wenzke wameona maji bado si ya shingo kivile au hata kama wanajua hali ni tete lakini wana hakika ya "kumanuva" matokeo kwa namna wajuavyo wao, hivyo haono sababu ya kuwatembeza wazee hao bali aliwataka wapuumzike. Vile vile hususani Mkapa siyo msafi sana hivyo uwezekano wa kumuua katika kampeni kupitia mikataba mingi ya kifisadi ungekuwa mkubwa na kumpotezea wapiga kura.
Mwisho Kikwete alishaamua kutumia "Strategy" ya kuitumia familia yake akidhani ingekuwa na ufanisi mkubwa lakini mkakati huo haukuzaa mtunda makubwa zaidi ya kukosolewa vikali na wadau ndani na nje ya chama chake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom