Kupenda ni kazi jaman!

Kupenda ni kazi jaman!

Unaempenda hakupendi, anaekupenda humpendi.

Wakati mwingine wanaopendana wana asilimia ndogo zaidi kuishi pamoja chini ya 5%

Anaekupenda humpendi mvumiliwe, kubali kuishi na maumivu ya moyo, at least una sehemu ya kupunguzia upwiru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom