powa tu kwani kuna nini cha ziada, anaweza kugombea hata u-miss
hivi kwa upande wako wewe mwanaume! unajisikiaje either dem wako ama mkeo anapokuwa mrefu kukuzidi wewe?
inapendeza mwanaume kuwa mrefu mwanamke kuwa mfupi huwa inapendeza sana
View attachment 124583View attachment 124584[/QUO
TE]
hivi kwa upande wako wewe mwanaume! unajisikiaje either dem wako ama mkeo anapokuwa mrefu kukuzidi wewe?
Wewe na Wallet zako, ukute hata mpango na wallet huna na kaka zangu wanakuogopa tu kwa maneno. (Zilongwa mbali na zitendwa mbali - misemo yetu watu wa Kilwa)Mi akiwa mfupi tu kwenye wallet ndio nitakereka......