mmmhhh... mnalionaje hili wadau?

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,692
9,965
hivi kwa upande wako wewe mwanaume! unajisikiaje either dem wako ama mkeo anapokuwa mrefu kukuzidi wewe?

12094_388222157928356_1227834653_n.jpg
 
powa tu kwani kuna nini cha ziada, anaweza kugombea hata u-miss
 
powa tu kwani kuna nini cha ziada, anaweza kugombea hata u-miss

mkuu naona tumepotezana kidogo!

sijasema kwamba urefu wake hauna faida! no! ninachosema ni kwamba, je wanaume wanajisikiaje wanapokuwa kwenye mahusiano na wanawake wanaowazidi urefu?

comfortability inakuwa vipi?
 
haipendezi kwa kweli,mwanaume ukiwa mrefu zaidi ya demu wako au at least mkiwa sawa ndio mwake
 
..kiukweli chemistry ni muhimu,na huwa inapendeza hata kimuonekano mwanaume akiwa mrefu kdg kumzidi binti... ila vilevile mwisho wa siku MAPENZI YA KWELI ndio yanahu!
 
hahaha Sista labda kwa kwenda chini au nirefuke pengne.
 
Last edited by a moderator:
Mi akiwa mfupi tu kwenye wallet ndio nitakereka......
Wewe na Wallet zako, ukute hata mpango na wallet huna na kaka zangu wanakuogopa tu kwa maneno. (Zilongwa mbali na zitendwa mbali - misemo yetu watu wa Kilwa)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom