ILA MI HUWA HILI SWALI HALINITOKAGI WALAHI KILA NIKIWAONA COUPLE YA WAZEE!
ehehehhehhehehe
BADO WANAFANYAGAAAAA?
wanajipindaaaaa ?
ahahahhahahha
hii asisome Dark City na Fixed Point
hakuna kuchapana fimbo bana mi najiuliziaga tu af kimoyomoyo huwa hata sijawahi kumshirikisha mtu hili wazo!
ILA MI HUWA HILI SWALI HALINITOKAGI WALAHI KILA NIKIWAONA COUPLE YA WAZEE!
ehehehhehhehehe
BADO WANAFANYAGAAAAA?
wanajipindaaaaa ?
ahahahhahahha
hii asisome Dark City na Fixed Point
hakuna kuchapana fimbo bana mi najiuliziaga tu af kimoyomoyo huwa hata sijawahi kumshirikisha mtu hili wazo!
Maneno yako ndiyo ushahidi wa kutosha kwamba kweli bado saaaana....
Ngoja niwaite wadau wenzangu wa 1947 wacheke kidogo.....
Fixed Point, Kongosho, Kaizer, Asprin, Blaki Womani...
Wewe umewapa wageni wa jinsia tofauti room halafu unapita pita kwenye anga zao??
Tena ukae kimya kwani wakijua ndo mwanzo wa kumiminiwa laana....
Babu DC!!
Mzee mwenzangu hapa kuna nini?
Huyu sakapal anataka kutupima imani wazee au anamwonea wivu mama mkwe wake?
Mwambie asijeingiwa na pepo akata kujua mapigo ya baba mkwe.... mmewe atam-UfooSaro.
......walaa mzee hajaaibisha hapo,
Yeye mumeo kilichomtuma kunyatia na kusikiliza hiyo miguno ni nini?
Ndio akome!
Nasikia soko la watu wazima (including vibabu) linatishia usalama wa baadhi ya watu....
Huyu sakapal anahitaji maombi asije kutamani kuvuka mito miwili kwa mpigo....
Bahati nzuri wengine tulishajistaafia...
Babu DC!!
mimi hata mada nisingeweza kauiweka hapa manake ngiejiuliza
nilikuwa wapi hadi nikamsikia baba mkwe akipata haki yake ya ndoa??
pili hivi siku ukifungua mlango wa chumban kwa baba yako ama niseme mfano mtoto kafungua mlango wa chumba cha baba na mama yako kisha ukakuta wako faraghan hivi utaendela kuangalia ama utakwenda kusimulia ama utafanyaje??
ama nuimuulize sakapal hivi siku ukiwa unaingia ndani ukamkuta mama yako kaa uchi bahati mbaya tu na uko na mumeo je utampigia kelele mam akaa vizuri ama utamfwata kwa utaratibu na kujitahd umstiri pasi kumfanya yy mama asijue kwamba mkwewe kamuona hata kama kweli mkwewe kamuona?
sijui umenielewa msingi wa maswali yangu?
hapa namwomba Dark City aje aseme jambo.
bye
babu mzima wewe??
je martha nae yuko poa?
naomba nijibu hivi siku ukimkuta mama yako kwa bahati mbaya kakaa uchi na uko na mkeo mnapita utafanyaje? sina nia mbaya lakin naomba jibu.
nimekuelewa nafikiri kuliko hata mtu mwingine yyte.Pole teacher....
Wengine tulishamalizana na kipindi hicho cha kushangaa....
Babu DC!!
Damn viagra!
Siku hizi hadi wazee wanayakwaa maSTDs.
Mambo yangu ni magumu teacher....
Namshukuru Mungu kwa kuwa bado niko mzima na naendelea vizuri kufurahia kampani ya wajukuu.....
Ila na wewe haya maswali yako ndo nini tena??
Ila kwetu sisi wa 1947, huwezi kumchungulia mzazi wako akiwa uchi na ukaona kitu.....strictly forbidden....
Babu DC!!
nimekuelewa nafikiri kuliko hata mtu mwingine yyte.
salam kwa mzee mwenzangu.
hata mimi babu niliona sio sahihi kuuliza nilivyo uliza na ndio maana niliomba samahan kwa swali langu hilo.
lakin nimejikuta nawaza tofauti kabisa hasa nilipofikiri naongelea ishu za wazazi ambao wamenizaa kwenye jambo kama hili bado najiskia aibu sana.
nani aliwah kusema kwamba ukizeeka ndio unastaafu??Ila huku uswazi hakuna viagra.....
Hata hivyo, Mungu hakutuacha yatima kwani tuna zana zetu za toka enzi zinazotuwezesha kuendelea kudunda mtaani....
Ndiyo maana ile gongo kali ina soko sana kwa vikongwe...wanakunywa kiduchu tu kabla ya kwenda kulala..lol!!
Babu DC!!
Hapa sasa tuko pamoja,
Ndiyo maana nikiwaza na kuona watu wa umri wangu au wakubwa zangu wanakimbizana na vibinti kama watoto wao wa kuwazaa naishia kuona aibu mie....
Suala la wazazi na watoto ni gumu sana....
Babu DC!!