Mmmhh...hubby kaninunia kisa..?

Mwacheni banaaa Baba yenu agegede kwa raha zake!!! Siku nyingine mkiwa mnapita kwenye corridor mzibe masikio yenu msisikie migegedo yao lol!!!! kwi kwi kwi kwi
 
WaSwahili hawajakosea.... "wageni waje wenyeji wapone" Leo utapona!!
 
Mwacheni banaaa Baba yenu agegede kwa raha zake!!! Siku nyingine mkiwa mnapita kwenye corridor mzibe masikio yenu msisikie migegedo yao lol!!!! kwi kwi kwi kwi

......au waanzie kupiga #Miluzi sitting room kuwa sasa wanakatisha 'border!'
 
kwa jinsi tunavyopiga hizi mashine kama shughuli pevu ujanani sijui tukifika umri huo tutaweza kuendelea kuliza wake zetu.............

nawaonea raha sana hao wazee
 
Wazee walipata kiwanja kipya cha kucheza mechi yao....
 
Sijafurahishwa na tabia yako ya ku - expose hii ishu kwenye mtandao hata kama tunatumia ID fake! Hii tabia ilaaniwe kwenye taasisi nyeti kama ndoa!

Cha ajabu nini hapo??? Kipi kimekuwa exposed?? Umewaza nini?? ID ya nini?? Ilaaniwe kwa lipi?? "Dont take urself serious coz no one does" tuache sie tunaojifunza kwa kui-enjoy tucheke. Sakapal mwambie jamaa like father like son aache kununa akupe raha!
 
du!! vip kama jamaa naye ni member humu!!!
 
Sijafurahishwa na tabia yako ya ku - expose hii ishu kwenye mtandao hata kama tunatumia ID fake! Hii tabia ilaaniwe kwenye taasisi nyeti kama ndoa!

Halafu ni Baba na Mama mkwe wake! huu ni ukosefu mkubwa wa heshima.
 
Hao wazee wametumia akili ya kuwaambia nendeni chumbani mkatafute watoto.

Nyumba haina watoto kumbe sababu ya kuchelewa kulala.
Kungekua na watoto wasingefanya ivo.
 
hahahaaaa umenikumbusha movie moja ya kimarekani ya zamani kidogo, ''stella got her groove back'' mie nahisi ntafikisha 90 nikiwa hai maana nnavopenda kutembezwa migulu baja.... we acha tuu

Hajui kwamba watu wakiwa ugenini mazingira mapya ndio unapata ham mpya
Hakuna kibaya alichofanya dingi mke wake wa ndoa shida iko wapi?
 
Haha nimechekaaa...sipati picha vile wazee wakiwa wanageuzana geuzana,ila lazma mumewako angejickia km aibu iv...tena aibu kua mke wake umesikia!
 
Nakubaliana nawe mkuu.

inategemea wako vp na mumewe kwenye kutaniana,,mimi mbona imewahi kutokea alaf hubby wangu mwenyewe ndo akasema duh mzee wangu noma na wote tukacheka,,INAONEKANA MMEWE SIO MTU WA UTANI,POLE SHOSTI
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…