Mmmh.. Huu ndo mchezo gani?...

Mmmh.. Huu ndo mchezo gani?...

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,824
Reaction score
1,291
Tumeshindaaaa.JPG

Hawa jamaa hilo kombe wamepewa baada ya kushinda mchezo gani?.......
 
ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....i think ni mchezo wa kupima dawa ya babu...!
 
ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....i think ni mchezo wa kupima dawa ya babu...!

mkuu unakipaji......!! nimecheka sana.. sikufikiri ningeweza kupata jibu la namna hii... Brilliant....
 
khaa apo ukute jinsia ya kike ndo inapiga picha...atajuta
 
JF forum, wekeni namna ya kurekodi vicheko, nimecheka mno kwakweli. Ha ha ha hi hi hi hi!
 
hahaaa!nimecheka sana kwa kweli,hapo ndio huwa nachanganyikiwa watu wanavyofikiri na kutoa majibu ambayo hata huwezitarajia.Kwa kweli binadamu tuna vipaji.
 
assalaaaaaleee!! Tuanzishe yetu TZ lakini yawe ya mab***a. Ushindi la lazima au mnaonaje???
 
Hiyo siyo kweli ni lazima kuna uchakachuaji tu? Yaani vitu viwe vimesimaa vyote halafu ni kama urefu unafanana.
 
Back
Top Bottom