Mmm mama mwenye vikuku vya miguu kajaliwa si haba,F8

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
GO9G4179.JPG
 
They look lawless watu wanaovaaga suti na tai wameshiba hivi…… Ahhh ndo wale wale wanaosaidia wanaotuibia mali za nchi kesi zao zinapigwa siku tuu mpaka mafaili yanapotea...
 
yashampita hayo ya wadada, aliruka step huyo....af wavaa vikuku wanatabia zinazofanana.
 
WAJUMBE WA 'EAST AFRICAN LAW SOCIETY'. Mama joaquinne de-mello enzi za usichana wake sijui ilikuwaje!!!! Maana sasa hivi tu watu mnaulizana!!!!!!!!!
 
..Kuna mtu alianzishaga uzi fulani usio mzuri sana kuhusu huyu mama zamani kidogo. Kumbe ndio huyu??
 
Baadhi ya suti hapo ni utata mtupu.....sijui wamechukua mchikichini....hiyo njemba ya kwanza?....
 
Back
Top Bottom