Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,232
- Thread starter
- #41
pole, asante kwa kushare story hii
umeona kuwa kuna vyakula vya fulani na fulani katika sahani moja hiyo hiyo.
Haya mambo yapo bana.
umeona kuwa kuna vyakula vya fulani na fulani katika sahani moja hiyo hiyo.
Haya mambo yapo bana.
kongosho, hakuna ch paja la mkubwa wala la baba...
vijana hususan wanaokuwa wanahitaji minofu kwa ukuaji wao....
umenikumbusha kipindi tukiwa wadogo...... mama alipata nafasi ya kwenda nje kuongeza elimu na kutupeleka mwanza kwa mjomba..... kwanza kule
1. watoto wote wakati wa kula tunakaa mkekani, kasoro mjomba, mkewe na watoto wao 3 wao ndo wanakaa mezani......
2. mwendo wa kula kwenye sinia finyango moja moja mapochopocho yote meza kuu, na ni marufuku kugusa... na unajua sheria ya kula kwenye sinia? spidi yako ndo kushiba kwako
3. tukila kuku ujue mwendo wa ngwala na vipapatio
4. mbaya zaidi tukapata tetekuwanga uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tuliiba simu kumpigia mama tunaumwa karibia tutakufa....
the gud thing ni kuwa mama alipokuja kutuona tuliogeshwa, tukapakwa dawa, tukaka mezani na kupakuliwa minofuuuuuu si kujichana masamaki, kujichana mapaja ya kuku tetetete ingawa tuliambiwa firigisi ya baba, maini ya watoto mweeeh siku chache haooooooooo kwenye treni dar...ikabidi mdingi atulee mwaka mzima kwikwikwikwi
Kongosho umenikumbusha mbaaali sana yaani natabasamu mwenyewe hapa, wadau wananishangaa... sorry kwa kutoka nje ya mada
Last edited by a moderator: