Dotworld
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,035
- 3,783
AHAHAAA but kile kisehemu huwa ni cha maza house! kuku haliwi ovyoovyo mkuu maybe mjini huku bush ni bonge la isssue,unaweza kuitiwa kikao cha ukoo hivihivi ukigawa vibayaKuna hg alifukuzwa kazi kisa kala kile KIMKIA CHA KUKU (juu ya SABURI la kuku); kumbe kile kimnofu ndiyo uilkuwa ugonjwa wa Baba Mwenye Nyumba; kila kuku akichinjwa firigisi na hicho KIMKIA anawekewa!!!!! Bahati mbaya hg naye alikuwa anakipenda KIMKIA saaana....Alipewa onyo mara mbili; mara ya tatu kilipopotea na AJIRA YAKE IKATOWEKA!!!!
Nyama ya kuku bado kuna baadhi ya familia ni KITU KIKUBWA NA KINA PROTOCAL ZAKE KATIKA KULIWA!!!!!
Mmmm!mila hizi sikukutana nazo sijui ingekusje nnavopenda mapaja lol!
Kumbe ulilelewa katika familia ambayo siku akichinjwa kuku ni mtafutano na mgawanyo wa nani anakula hiki na nani kile!Haya Mtego wa noti endelea nayo maana mtu kuacha asili yake wakati mwingine ni ngumu sana.Nani kakwambia yameisha? Mimi mwenyewe nina about 30yrs ila wife akipika cha kwanza kabisa kuniwekea ni firigisi na anajua nisipoikuta patachimbuka bila jembe...kuhusu vidali na makalio ya kuku hayo hayanisumbui kabisa. anakula watoto pamoja na mtoto mkubwa yaani my wife!
Hhahahhaha,ahahaaa mi mapaja nimeanza kuyala kwa hela yangu best
siku na zali sana ni shingo
siku zingine miguu ,au kichwa
ukute ni jike kachinjwa hana hata kichwa,unaishia kula macho...
kongosho, hakuna ch paja la mkubwa wala la baba...
vijana hususan wanaokuwa wanahitaji minofu kwa ukuaji wao....
umenikumbusha kipindi tukiwa wadogo...... mama alipata nafasi ya kwenda nje kuongeza elimu na kutupeleka mwanza kwa mjomba..... kwanza kule
1. watoto wote wakati wa kula tunakaa mkekani, kasoro mjomba, mkewe na watoto wao 3 wao ndo wanakaa mezani......
2. mwendo wa kula kwenye sinia finyango moja moja mapochopocho yote meza kuu, na ni marufuku kugusa... na unajua sheria ya kula kwenye sinia? spidi yako ndo kushiba kwako
3. tukila kuku ujue mwendo wa ngwala na vipapatio
4. mbaya zaidi tukapata tetekuwanga uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tuliiba simu kumpigia mama tunaumwa karibia tutakufa....
the gud thing ni kuwa mama alipokuja kutuona tuliogeshwa, tukapakwa dawa, tukaka mezani na kupakuliwa minofuuuuuu si kujichana masamaki, kujichana mapaja ya kuku tetetete ingawa tuliambiwa firigisi ya baba, maini ya watoto mweeeh siku chache haooooooooo kwenye treni dar...ikabidi mdingi atulee mwaka mzima kwikwikwikwi
Kongosho umenikumbusha mbaaali sana yaani natabasamu mwenyewe hapa, wadau wananishangaa... sorry kwa kutoka nje ya mada
Aisee Kongosho, hatupaswi kukaa mimi na weye aisee; maana hiyo supu ya miguu itatukosanisha. LOL
Mwangu zamani alikuwa anapenda bastola (wing/kipapatio) siku hizi ni paja tu. Kwangu msichana wa kazi ndio anakula paja (mwanangu asipokuwepo) mimi ni miguu (coz of supu) na kidali (white meat) tu.
Kwetu nyumba nzima baba, watoto( tumefata kwa baba) na beki tatu twala Mapaja tuuu, nyama zengine hatuzitaki katuuuuu. Mama Lara tu ndo anapenda vinyama vidogo vidogo kama shingo, vipapatio na mgongo. Kuondoa purukushani ya mipaja tunanunua kuku MAPAJA TUPU pale shoprite. Basi hapo kila mtu na MPAJA wake, tambarareeeeee.
mhh! nilipoona heading nilijua mama Kongosho anaongelea mambo ya 18+ lol. sie kwetu hatuna hayo mambo, as long as hatumwekei shingo au vimikono kwenye hotpot all is okay. I'm suprised kusikia hii ni issue sehemu zingine since sijaona kwenye nyumba nilizokaa. kuhusu how kuwalea wanao wawe na 'adabu' just fahamu utaratibu wa sehemu unayotaka kwenda/kuwapeleka and hakutakuwa na shida.
edit: kuongezea at times dad huja na nyama yake personal for him ambayo wengine hatuili like kongoro, kichwa etc
hili swala linatokeaga tu kutokana na mama kumpendelea baba ale kitu fulani,hivyo unakuta ni kama rule,mara nyingi wababa huwapa watoto wao wadogo,ili na wao wafurahi...........swala lingine ni ile siti ya mzee kwenye dining table,unakuta baba anakaa sehemu hiyohiyo,na akiwepo hamna anayekaa pale,hilo ndo nashindwa kuelewa.
Siku hizi Konnie, kuku anauzwa kulingana na unachohitaji...ukitaka kilo moja ya shingo utapata, kadhalika firigisi, paja, kongosho za kuku n.k n.k.....ila mie huwa napenda supu ya **** la kuku, pale ambapo huwa panaota manyoya ya mkia...
Nani kakwambia yameisha? Mimi mwenyewe nina about 30yrs ila wife akipika cha kwanza kabisa kuniwekea ni firigisi na anajua nisipoikuta patachimbuka bila jembe...kuhusu vidali na makalio ya kuku hayo hayanisumbui kabisa. anakula watoto pamoja na mtoto mkubwa yaani my wife!
kongosho, hakuna ch paja la mkubwa wala la baba...
vijana hususan wanaokuwa wanahitaji minofu kwa ukuaji wao....
umenikumbusha kipindi tukiwa wadogo...... mama alipata nafasi ya kwenda nje kuongeza elimu na kutupeleka mwanza kwa mjomba..... kwanza kule
1. watoto wote wakati wa kula tunakaa mkekani, kasoro mjomba, mkewe na watoto wao 3 wao ndo wanakaa mezani......
2. mwendo wa kula kwenye sinia finyango moja moja mapochopocho yote meza kuu, na ni marufuku kugusa... na unajua sheria ya kula kwenye sinia? spidi yako ndo kushiba kwako
3. tukila kuku ujue mwendo wa ngwala na vipapatio
4. mbaya zaidi tukapata tetekuwanga uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tuliiba simu kumpigia mama tunaumwa karibia tutakufa....
the gud thing ni kuwa mama alipokuja kutuona tuliogeshwa, tukapakwa dawa, tukaka mezani na kupakuliwa minofuuuuuu si kujichana masamaki, kujichana mapaja ya kuku tetetete ingawa tuliambiwa firigisi ya baba, maini ya watoto mweeeh siku chache haooooooooo kwenye treni dar...ikabidi mdingi atulee mwaka mzima kwikwikwikwi
Kongosho umenikumbusha mbaaali sana yaani natabasamu mwenyewe hapa, wadau wananishangaa... sorry kwa kutoka nje ya mada
ha ha. na bado sijatimiza hata mwaka!we nae siku hizi umekuwa mpana kama pazia la leba?
Una vijineno, teh teh teh.
only for dad! dada/mama hawali na mie sipendi maana zinaweza kuninenepesha which i don't want..
Hizo kongoro anazopewa baba na dada ni zipi?
when I lived with my rafiki in Arusha during summer-09, nilibehave kama wao pale nyumbani kwao. it was really easy, take a day or two na the rest zitaenda vizuri. Towards the end niliweza kudeka kama sikupendelea mboga (hasa za majani) na nilipata dagaa kama substituteNajua nakotaka waende, ila sipendi washindwe kuishi na jamii inayowazunguka.
Ukijua kuishi na watu maisha malainii
.
Leo nimepata jibu ... nilikuwa najiuliza sana why ulichagua ID ya Kongosho!
Ha! ha! ha! ... inaonekana ulipokuwa mdogo kwenu Baba alikuwa anapewa Paja na Firigisi!
... wewe ulikuwa unaachiwa kula kongosho aka pancreas mpaka ukaamua ID yako ya JF iwe Kongosho.
.
ahahaaa mi mapaja nimeanza kuyala kwa hela yangu best
siku na zali sana ni shingo
siku zingine miguu ,au kichwa
ukute ni jike kachinjwa hana hata kichwa,unaishia kula macho...