Huyu jamaa kama vile namkumbuka tukiwa vijana, Arusha uwanja wa Helenic mkabala na Serengeti RoadI hope sio Chris Maeda wa regional! Anyway this is a common name anyways!
Huyu jamaa kama vile namkumbuka tukiwa vijana, Arusha uwanja wa Helenic mkabala na Serengeti RoadR.I.P. msacha oko.
Ama kweli majanga ni mengi huku tunakoelekea!
Pumzika kwa Amani Christopher!!
Huyu jamaa kama vile namkumbuka tukiwa vijana, Arusha uwanja wa Helenic mkabala na Serengeti Road
tulicheza nae mpira football/soka alikuwa anatokea pande za kota za AICC.
Ndiye/Siye?
Huwa unatuwaza sana wewe ----...au huwa unatafuta mme....
Mabilionea wa Arusha mpaka wakifa ndio wanafahamika
R.I.P le bilionea
Huyu Ndio Marehemu Cristopher Maeda
Am speechless !!!!!! Burgner, Edwin,Jamaa na Ndugu tutakukumbuka mpaka mwisho wa maisha yetu pia naomba Mungu azidi kuiogoza familia yako, ulikuwa rafiki bora kabisa kwangu.