Mmiliki wa Tella Maande Hotel Arusha afariki ajalini

Mmiliki wa Tella Maande Hotel Arusha afariki ajalini

Chris Maeda ambaye ni mmiliki mwenza na Edmund Maeda wa Hotel ya TELLA MAANDE iliyopo Sakina amefariki kwa ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Sakina.Inasemekana wakati anaelekea nyumbani kwake Ngaramtoni alikutana na Land Cruiser iliyokuwa ina-overtake ikamfuata upande wake marehemu alikuwa kwenye gari ndogo ambapo alifariki papo hapo. RIP Chris
Tunashukuru kwa taarifa mkuu ila alikuwa siyo mmiliki wa Tellamande,sema alikuwa swahiba mkubwa na mmiliki mr Edwin Tarimo.RIP Christopher.
 
Mnampangia Mungu mahali pa kumlaza marehemu siyo? Mlevi, jambazi, fisadi
nk. walazwe pema peponi pasipo wao kutubu dhambi zao kabla
mauti kuwakuta. Kataeni kudanganywa na viongozi wenu wa dini
waliofilisika kiroho! Viongozi hao wa dini wamekwisha hukumiwa kwenda
jehanamu tayari kwa kupotosha maandiko, sasa wanawadanganya ili mwende wote jehanamu. Baada ya kifo ni hukumu! Mbona hamshitukii??
wewe ni boko haramu au ali shababu?????????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom