Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 8,102
- 23,690
Bilionea Leonid Radvinsky, Mmarekani mwenye asili ya Kiyahudi aliyezaliwa Ukraine mmiliki wa mtandao wa OnlyFans (aliyezaliwa 1982), amekufa kwa saratani akiwa na umri wa miaka 43 mnamo Machi 20, 2026 huko Florida.
"Tuna huzuni kubwa kutangaza kifo cha Leo Radvinsky. Leo alifariki dunia kwa amani baada ya kupambana kwa muda mrefu na saratani."
— OnlyFans
— OnlyFans
Wapenzi wa chudai na wataa watamuenzi kwa ubunifu wake wa kuja na OnlyFans.
Platform ambayo inawapa watumiaji nafasi ya kulipia content za ngono kutoka kwa creators na kupata vichupa vya ngono ambavyo ni exclusive.
Platform ambayo inawapa watumiaji nafasi ya kulipia content za ngono kutoka kwa creators na kupata vichupa vya ngono ambavyo ni exclusive.