Somalia na kile KIPEMBE chake, ndiyo imo ndani kabisa, hahahaaaaa........
Yemeni pia inafaidi. Madascar? Tanzania bara walau ina nafuu ila Zanzibar na Comoro? Ndiyo maana hadi Tundu Lisu kawahurumia na kasema waachiwe mafuta wachimbe na wapate kipato maana wako inside......