Mmh..!

Mkuu, hii nadhani ilitoka siku 5 hivi baada ya Lissu kumiminiwa risasi.
Roho ni jua huwezi kuifunika kwa kaniki... [emoji144][emoji144][emoji144]
Rai yangu uovu hautetewi kwa uovu... Rushwa ni adui wa haki, imeangamiza wengi ili tu kubaki madarakani
Lila na fila hazitangamani
 
Ujumbe wenye kilo zilizoshiba
Lakini una makengeza mengi... Tunajua kama taifa tulifika wapi kwasababu ya rushwa... Wote hawa ni walewale... Kilichobadilika ni mbinu tuu..
 
Dah, ila bora rushwa kuliko risasi Mkuu, unaonaje?
Ni walewale tuu, unapewa rushwa ukigoma unakula shaba... Hapa kilichobadilika ni mbinu tu... Huyu anafanya kwa kificho kwa kuzuga, huyu ni direct moja kwa moja on the spot
 
Ni walewale tuu, unapewa rushwa ukigoma unakula shaba... Hapa kilichobadilika ni mbinu tu... Huyu anafanya kwa kificho kwa kuzuga, huyu ni direct moja kwa moja on the spot
Ha ha ha haaaa... Plata o plomo..

Kuna mdau mmoja kasema kwa jinsi anavyoifahamu CCM tusishangae 2020 rais akawa Musiba.
 
Ha ha ha haaaa... Plata o plomo..

Kuna mdau mmoja kasema kwa jinsi anavyoifahamu CCM tusishangae 2020 rais akawa Musiba.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]nitakufa kwa kihoro
 
Mshana Jr shida ninayoona katika nchi yetu. Ni kuwa ukiwa madarakani mawazo mbadala kwako ni uadui !!.
Mkuu wetu awatumikie wananchi, awache wenye mawazo tofauti waendelee na maisha yao.
Kukichwa kutambazuka... Japo kabla ya alfajiri giza huwa totoro...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…