Mmh Nape anazidi kumbomoa Lowassa

Yote anayoyaongelea ni kama hayatekelezeki na alivyo kichekesho anashindwa kuwataja watu majina kwa hiyo mleta mada nawe umetumia vibaya jina la Lowassa kwa vile Nape ameogopa kutaja hilo jina kuwa linatakiwa kujivua gamba


Huyu mpuuzi hana asemacho hapa but namwelewa alikuwa anaongea na wana CCM wenzake so no wonder maana level of their thinking imefikia kikomo .
 
Ndugu wakigombana sisi tuchukue majembe tukalime watakapopatana tutakuwa tumeshaingia Ikulu. MAGAMBA NO MORE.
 
Sina comment kuhusu aliyoongea Nape, sikiliza.

[video=vimeo;31668596]http://vimeo.com/31668596[/video]


Nape atambue kuwa J.K. Nyerere na Salim.A.Salim sio tu walikuwa vijana bali walikua na uwezo wa kuongoza pia,na walionesha kwa vitendo sio kwa kupiga kelele. Hivyo tuweke kumbukumbu vizuri kuwa kijana sababu ya kuwa kiongozi sifa na uwezo wa mtu ndio kinachoitajika sio kama anavyozani nape na kututabainisha kuwa kijana basi ndio kuwa kiongozi. Mfano yeye amesema amekuwa kwenye NEc mika aliyoitaja amefanya nini katika chama na Taifa?Kuppiga kelele za mafisadi ndio swala zuri lakini haitoshi tu upige kelele bila kujenga taifa pia. hawa ndio vijana wanaojipatia umaarufu kwa kupiga kelelele baadae wanataka jamii iwatambue ni viongozi bora.
 
Nape kaingia leo saa3 asubuhi na Qatar Airlines....hakupata media Coverage yoyote,pengne habari za magazet ya jana zimemzima...kapiga kinyamwezi jinsi na mkoti mweusi...NGOJA TUNGOJE ATASEMA NINI!
 
Nape Kiboko yao,hata kama alitaka kuanzisha chama tupime maudhui yao ilikuwa kupambana na mafisadi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.............Enzi za mafisadi kuwasujudi umekwisha kama tulivyokata USHOGAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA......lazima tupambane kwa vitendo kupinga ufisadi.........Wapinzani wanapambana kwa maneno lakini CCM inapambana kwa vitendo......JK usiogope kupoteza majimbo mawili kuliko kupoteza nchi.........Fanya maamuzi magumu yakushtua umma uli watanzania wakukumbuke.......kama ni mechi hii ni lala salama kwako la sivyo utapata taabu ukistaafu kwa kuto chukua hatua ktk kujenga Tanzania ya leo na ijayo.....Mafisadi hawa nafasi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom