Sisi tunatakiwa kuitafakari hali hii...JESHI LINATAKIWA KUWALINDA RAIA na haki na Mipaka ya Nchi. Sio kuulinda uovu wa walio madarakani dhidi ya raia wema na wasio na kosa kupewa vitisho. Tuungane na tupaaze SAUTI YA PAMOJA KUWA, NCHI YETU INAKOMBOLEWA, Imepata MKOMBOZI. Hakuna wa kuziba midomo ya wanyoge na wenye haki. Hata nguvu za Mafia zilishindwa, Ukomunisti ulifikia kikomo, Marekani - Republican walitumia style hii hii ya CCM kumdhoofisha Obama kwa kusema ataiweka Marekani kwa Magaidi, yeye mwenyewe gaidi-msomali na sio Raia, ila kwa kuwa mabadiliko yalikuwa ni mkondo usiopindwa kwa njia za kifidhuli na kutisha watu...Obama aliikomboa Marekani, alikomboa kizazi chote na bila mwaka kupita, Obama ametunikiwa Nishani, na heshima ya Marekani imezidi kungara...! Ndiyo maana tunasema, hata wakitumia mbinu chafu, Umafia na kudhoofisha fikra za watanzania kwa woga, mabadiliko lazima...CHANGES ARE COMING...YES WE CAN CHANGE TANZANIA...!