Mmh...haya

Wanasema ukipenda boga penda na ua lake huyu anapenda mavazi ya kike hivyo atapenda na nini jamani?
 
Joti mtaftaji si kama wavulana wa Dar wanabaki kufuta vigari vya wasichana wa mkoani walioanza kazi juzijuzi,alafu kila akiona gari unaskia aah ya mkopo hiyo,haya sasa serikali ya JPM haitio mkopo,semeni sasa?

Wanaume wa Dar bhna,Joti anakusana mamilioni ya hela we unabaki kumkebehi,endelea tu utabaki na ooh braza sjala kabisa nsaidie Miambili!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…