mmenichosha

ibra87

R I P
Jul 22, 2015
5,614
5,347
mmenichosha na Huu ujinga wenu wa kutoithamini miili yenu... Mwanamke lazima ujithamini na Kujiheshimu. Hivi huwa mnajisikiaje kugawa papuchi bila mpangilio
 
Last edited:
Mwili wa Mwanamke Unathamani Kuliko Hata Kampuni Ya Bakhresa.. Mwili Wa mwanamke hautakiwi kuonekana Hovyo Machoni mwa wanaume. Mwanamke anaheshima kubwa katika Jamii Yetu.. Mwanamke tuna muangalia ni kama Dhahabu yenye Gharama za Juu kuliko Hata Tanzanite. Thamani Ya Mwanamke ndio imenifanya mimi na wewe tuwepo hapa. Lakini kile wanachokifanya Madada Wa Siku hizi kunaiondoa Ile thamani Ya Mwanamke Katika Jamii. Wanawake wamekuwa hawaheshimiwi sababu ya wale wachache wanaoharibu sifa yao. Kwanini tunafikia Huku? Nyie ni mama Zetu na Dada Zetu hembu Jisitirini basi tunawapenda. @Hornet @brenda18@luv@evehurt@loveisweet@witnessj@winnlicous
 
Back
Top Bottom