Mmemuona ng`ombe wangu?

hawa ng'ombe wapo na huku kwetu afirika au ni hukohuko udachini tu?
Ng'ombe matata jamani eee!!!!

Mkuu hawa ng`ombe ukiwaleta Afrika wanakufa,hali ya hewa inawakataa nimeshajaribu mara mbili. Labda uwatafutie cross breed na dume la nyati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom