Naona Lemutuuz amewa_inspire wengi,Maurid naona naye amekuwa king of social media.Watu wengi sasa hivi wameiga maisha ya lemutuz ya kupost kila wanalofanya au kuona kwenye mitandao hasa instagram,Maulid Kitenge naye ameiga tabia hiyo anapost kila kitu afanyacho.Kwanini amekuwa hivyo sasa? Au amepata rabsha kwenye mahusiano?
Ninyi ndo wa kupimwa mkojo, kumaliziana mb tu hapa hiyo misuto yenu c muishie nayo hukohuko. Unachokiandika hapa unafikiri cc sote tunakijua? Jf is s public plattform so andika kitu ambacho kitakuwa public kila mtu ajue siyo unapost ili mradi na ww uonekane umetoa post.