Mmejiuliza ni kwanini mzee Mwinyi na mzee Butiku hawajajitokeza na kusema kauli zao zimepotoshwa?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Ukiwa na akili utapata jibu ni kwanini wazee hawa wameacha kauli zao zimeendekea kuzua mijadala mpaka sasa licha ya ukweli kuwa wana nafasi ya kukanusha na kutolea ufafanuzi kauli hizo ila badala yake wamechagua kukaa kimya.

Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
20161015_050530.jpg
downloadfile.png
downloadfile-2.jpeg


swissme
 
Hayo ni maoni yao na lazima kueshimiwa, kama ambavyo mnaheshimiwa nyie pindi mnapotoa maoni yenu
 
Wakati wa JK ukosoaji wa makada ulitakiwa kufanywa katika vikao rasmi vya chama kinyume na hapo Ilikuwa ni msemaji wa chama kujitokeza haraka kujibu na chama kuchukua hatua.

Chama na wasemaji wako wapi juu ya wakosoaji nje ya utaratibu wa chama?
 
Back
Top Bottom