Mmeiona Gari yangu Wana JF??

Naomba kontaktz ili siku moja nipate lift kwenye hilo gari
 
mkuu hiyo product hapo pembeni ipo katika package??
 
Ayaaaa huyo mwanadada kakanyaga waya,kiasi kwamba gari sioni...
 
huyo aliyepo hapo ni bonus. Kama nyama ya nyongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…