Mmeiona Gari yangu Wana JF??

Mmeiona Gari yangu Wana JF??

Naomba kontaktz ili siku moja nipate lift kwenye hilo gari
 
Binafsi sijaona Gari hapo ila naona manzi ametega Boflo lake kimtegomtego.

  • A%20S%2013.gif

 
mkuu hiyo product hapo pembeni ipo katika package??
 
Ayaaaa huyo mwanadada kakanyaga waya,kiasi kwamba gari sioni...
 
huyo aliyepo hapo ni bonus. Kama nyama ya nyongeza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom