Mmehama MMU?

MMU, kule wote wanajuana sisi wageni ukienda uko wanakupita tu, kule kuna watu wameona kabisa, wengine mawifi, mashemeji, shangazi, mjomba, hata ukijipendekeza vipi hakuna anaekujali aisee!
Try me uone,
Mbona nazoeleka kirahisi tu kashengo1
Ila na hiyo avatara yako yaweza changia maana mie mawenyewe hapa najikaza tu kuiangali!!
 
Back
Top Bottom