Mmehama MMU?

Mmehama MMU?

Napita tuu,naelekea kwenye politics!
 
Rebranded Chit Chat 2012, iko juu kama mawingu ya bluu.

No siasa, no mmu, no intelijensi.
 
MMU, kule wote wanajuana sisi wageni ukienda uko wanakupita tu, kule kuna watu wameona kabisa, wengine mawifi, mashemeji, shangazi, mjomba, hata ukijipendekeza vipi hakuna anaekujali aisee!
 
MMU, kule wote wanajuana sisi wageni ukienda uko wanakupita tu, kule kuna watu wameona kabisa, wengine mawifi, mashemeji, shangazi, mjomba, hata ukijipendekeza vipi hakuna anaekujali aisee!
Aisee! Ina maana hawazoeleki?
 
Nikiwa mwenyekiti wa MMU, nafadhaishwa sana, nasikitika sana......

ngoja nilifanyie kazi hili tatizo!
 
Nikiwa mwenyekiti wa MMU, nafadhaishwa sana, nasikitika sana......

ngoja nilifanyie kazi hili tatizo!
Na ufanye upesi manake tumechoshwa sana na hawa watoto wa form two B na story zao za uongo... Okoa jahazi ODM!
 
Aisee! Ina maana hawazoeleki?

Hawazoeleki hata kidogo Kaka, halafu cha kushangaza kuna majina yao wanaitana wewe utaangaika kuita jina la ID lakini wapi.

Kwa mfano wewe apo unaitwa Kigarama, lakini utashaangaa unaitwa Babu au Bingwa.
 
Back
Top Bottom