Mme wa Spika wa Bunge la Marekani apigwa nyundo ya kichwa alazwa Hospital

Paul Pelosi amevamiwa nyumbani kwake na mtu asiyejulikana Pelosi ni mume wa Nancy ambaye ni Spika wa bunge la Marekani

Source: BBC
Ingekuwa hapa nchini maneno yangekuwa mengiiiii ...ooh wasiojulikana. Niliwahi kusema na naendelea kuamini usalama wa raia Tanzania uko juu mno. Imagine mume wa Spika Marekani anapigwa...nimefuatilia ile habari katika mitandao tofauti nimeshtushwa#Tuvipongeze vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.🙏🙏🙏
 
Ingekuwa hapa nchini maneno yangekuwa mengiiiii ...ooh wasiojulikana. Niliwahi kusena na naendelea kuamini usalama wa raia Tanzania uko juu mno. Imagine mume wa Spika Marekani anapigwa...nimefuatilia ile habari katika mitandao tofauti nimeshtushwa#Tuvipongeze vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.🙏🙏🙏
Polisi wa bongo anakulinda nini wewe kima? Mfano nikitaka kuja kukuchoma na spoku hapo kwako nani atanizuia?
 
Ingekuwa hapa nchini maneno yangekuwa mengiiiii ...ooh wasiojulikana. Niliwahi kusema na naendelea kuamini usalama wa raia Tanzania uko juu mno. Imagine mume wa Spika Marekani anapigwa...nimefuatilia ile habari katika mitandao tofauti nimeshtushwa#Tuvipongeze vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.🙏🙏🙏
Ile ya Tundu Lisu ilipigiwa sana kelele
 
Back
Top Bottom